Fernando Jr
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,222
- 4,805
Kuna right handers wengi tu ambao hutumia huchamba kwa kutumia kulia japo hapa hawawezi kusema.Ni unyanyasaji kwa watu wanaotumia mkono kushoto embu wewe unaetumia kulia jaribu kujilamisha kutumia mkono wa kushoto uone inavyoumiza
Mimi ni mashoto natural kiasi kwamba kazi za mkono wa kulia ni chache sana. Vivyo hivyo kuna wadau ambao pia ni natural right handers kiasi cha kushindwa kutumia kushoto kwa mambo mengi, kwakuwa hilo zoezi ni la faragha wanaamua isiwe kesi!