Unajisikiaje mpenzi wako/mkeo/mumeo akipost matatizo yenu hapa if?

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,908
2,095
Salam!

Kichwa cha thread cha husika.

Swali langu ndio hill, he unajisikiaje pale unaposhuhudia post za mkeo/mumeo,/mpenzi wako zikielezea matatizo yako/yenu kwenye social networks hasa hapa JF?

Nawasilisha hoja.
 
Jf tuna tumia fake IDs labda mtu ujistukie tu , wengi wao huwa hawajui, unaweza kuta unachangia uzi alo anzisha mkeo kuhusu wewe halaf unampa na sulihisho kabsa. si unaju humu wajuaji wengi.

ila kama mtu kuomba msaada hu haina shida iliwa hata disclose identity yangu kwa kunitaja, maana hata kwenye social networks kuna watu pia ni njia modern ya kusaidiana, sema inapaswa kuchambua mawazo ya watu, wengi huchangia kwa kupotosha ila ukifuatilia kila mtu analo ongea kwa makini sana lazima utoke na suluhisho huwez kosa hata nusu ya suluhisho bas
 
Maelezo yanayokuhusu utayatambua tu,pia no rahisi kujua Identity ya mtu unaye mfahamu maana tunaweza kutumia fake id, fake avatar ila sio fake feelings/thoughts.
 
Nitajifikiria Mara mbili mbili nakosea wapi.....mpaka anashindwa kunifungukia mimi kwanza.
Pia ninaweza kukaa kimya nikipitia michango ya wana JF kujifunza kukabiliana na tatizo lisitokee tena.
 
Huwezi kujua kirahisi, na kama ukihisi na hamna anaewajua sioni kama kuna tatizo endapo alikuwa anatafuta suluhisho, kila mmoja ana namna ya kulichukulia jambo... Kwanza mie naona afadhali ya humu kuliko ile kuwaambia watu wanaowafahamu, na Siwezi laumu sababu yeye ameona njia hiyo ndo rahisi kwake kupata suluhisho
 
Sidhani kama kuna kujishitukia wakati tuko UNDERCOVER.Yan humu unaweza mtongoza hata mkeo au mpenzi wako bila kujijua.
 
Sometimes inakuwa poa, sometimes inakuwa sio fresh kulingana na ukubwa au udogo wa tatizo husika
 
Itakuuma tu pale itakapokuwa chumvi imeongezwa; niliwahi kujihisi humu, ni miaka 3 imepita sasa
 
Hakuna atakaye furahi jambo hili, sema si hafi ujue kuwa mwenzako amepost mambo yenu jf, maana wanabadilishaga username
 
Chukulia mfano yule dada aliesema mme wake hatandiki kitanda kwa uthibitisho akapost na picha ya kitanda.
alafu mume wake aone uzi na ikiwezekana achangie bila kujijua ni yeye anazungumziwa anastahili kupelekwa milembe haraka sana.
 
Ni rahisi kumfaham mtu unaye mjua humu jf.
 
Aisee kuna baadhi ya visa kama kinakuhusu utakijua tu, let's say mkeo anaelezea mlikutana mkoa fulani kwenye seminar, baadae mkakutana wote kwenye bus na mkakaa seat moja. Na hapo ndipo uhusiano ulipoanzia.

Baada ya hapo anaelezea kisa kilichomfanya mpaka aje kuomba ushauri hapa Jf,.. Aisee ni lazima utajua tu. In short mtu akiwa too general utabaki kuhisi tu lakini kuna info fulani akiziweka utajua tu ni wewe.

Mimi siwezi kujisikia vibaya kama tu alichokisema ni kweli na haja disclose information ambazo zinaweza kufanya watu wakajua identity yetu.
 
Back
Top Bottom