Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Nyie midada mna tabu sana, unakuta lidada limevaa minywele yamechanua utazani kabeba dume la tausi kichwani, wengine mawigi utazani wamevaa vyungu kichwani.

alafu kuna hawa wengine wanavaa mikucha utazani misukule, hivi mnajisafishaga kweli? achenini uchafu wasechu nyie
 
Ni used na wananunua uwezi amini..

Kama wanaazimana itakua hilo.. Yaani linafuliwa linaanikwa linachanwa na chanuo saafi linapigwa wese.. Mtoko tayari..

Huko njiami ni mwendo wa kujitingisha nyuma kama bata jike lililotoka kupandwa

Sent by anonymous user

Kumbe ni used
Yaani umewamaliza kumbe wanayafua pia
Halafu wanavyojigeuza kama yule dada wa kwa Trump
Ila hii hii ya bata nimecheka sana Walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jaamaa aliwahi kukoment et alikutana na Dada mmoja amevaa hilo wigi sijui La sh ngapi lile daah et alikua akigeuka kushoto wigi bado limebaki kulia halieleweki liende wapi? sasa sijui shida ilikua Ni nini mtusaidie mawigi associate

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee Kaka hurumia mbavu zangu.
Nakuona tangu mwanzo comments zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hayo ya buku yatakuwa manyoa ya kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti manyoya ya kuku
Aaninah!! shida ni pale wigi likipeperushwa na upepo unakutana na bonge la para "hii nna ushuhida nayo:

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu katika purukushani za kugombania kuingia darasani...alikua anafight sana...wahuni wakavuta wigiaisee...huku kichwani huwa Kuna mengi...mtuache jmn na mawigi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mwanamke anayevaa wigi kisaikolojia ana matamanio ya kuwa mwanamke anayeakisiwa na wigi alilolivaa, sasa unaanzaje kumfukuzia mwanamke anayetamani kuwa kama mhindi, mzungu au msomali wakati kuna wahindi na wazungu kibao tunabanana nao hapa hapa?..
SIPENDI; naona kinyaa hata nikiwa karibu naye ndani ya daladala. Ni kumfanya Mungu kakosea kumpa nywele zake. Wana mapepo kichwani wanatembea nayo; Ni dhambi kumsahihisha Mungu kwamba alikosea , waache huu uchafu. Wachina wanawauzia lakini wenyewe hawavai. Shame/aibu
 
Ni kweli unaweza kabisa comfortably ukawa na mwanamke aliyevaa wigi jamani?

Shame on you guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchafu kabisa; sipendi kabisa ; alafu siku hizi yako ya kama mtu aliyewehuka. Cha kushangaza wako walokole nao na hata wake za wachungaji; AIBUUU. Unataka kumsahihisha Mungu kama kakosea. Huwa ni pepo fulani; mengine ni ya watu waliotoa sadaka kwa miungu yao wakiwa wagonjwa au kuondoa mikosi; alafu mtu kaweka kichwani
 
Back
Top Bottom