Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Ni kweli unaweza kabisa comfortably ukawa na mwanamke aliyevaa wigi jamani?
Shame on you guys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shame on you guys.
Sent using Jamii Forums mobile app
unamaanisha wengine nywele hazina ushirikiano? Kama ndivyo naunga hoja mkonoWigi linaficha vitu vingi sana kwa wanawake.
Mojawapo ni kipimo cha afya.
PENGINE AKIVUA WIGI ANA KIPARA KIKUBWA TUNi kweli unaweza kabisa comfortably ukawa na mwanamke aliyevaa wigi jamani?
Shame on you guys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi lakini kipilipili chako kinachanika?Wamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
👊Wamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
Nilikua najaribu kutikisa kibiriti tu sina mengine mremboKwa bahati mbaya/nzuri mimi sina kipilipili
Naunga hoja mkonoWamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
Niseme tu na nyuma ya keyboard muyachukie hivi hivi ili hao wavaaji wapungue ikiwezekana waishe kabisa.
Itakuwa jambo jema sana wakiisha au kutoweka kabisa na kuendelea na uasili wao waliotunukiwa na Muumba wao.Mmeleweka...wavaa wigs watajirekebisha...