Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
22,638
2,000
iwekww hapa picha ya dada kavaa wig lake zuri alafu iweke picha ya dada mwenye natural yake..haijatiwa dash dash yyt..tuone nan yupo smart🎶.
ila ziwe za kibongo..msituwekee watutsi
Kutakuwa hamna balance, sharti zote ziwe standardized. Natural ziwe na mafuta au dawa ili kuendana na enhancenent ya wigi!
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
22,638
2,000
Niliwahi kuvutiwa na demu kisa wigi yale mafupi lilimkaa fresh yaani alinivutia sana

Sasa siku nikakutana nae hajalivaa nikaanza kujiuliza ndio yule au mwingiene

Kiukweli wanawake wavaa mawigi mnatutapeli sana mnatuuzia cheni bandia hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mi yale mawigi mafupi wenyewe wanaziita helmenti. Sio siri nikimuona mtoto wa kike kavaa napatwa na hisia za bar maid kabisa!
Yani siyapendi, mara 10 avae yale ya saizi ya kati wanayoita bob! Yale yanakaaga mchicha sana
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
9,677
2,000
Nawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI

hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa
Unakuta wigi kubwa kama kabeba mzigo wa nyasi halafu linanuka hatari.

Wengine kakaa nalo hata miaka mitano duh uchafu unageuka kuwa urembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
3,937
2,000
Nimesoma kote Ila nilipofika aya ya mwisho nikajikuta nacheka. Kwamba vigezo na Masharti kuzingatiwa mvuani


Sikuelewa niki wa pili alikua anasema Brazilian/ Indian hairs kumbe ndo haya maOG wigis
Original ni nywele za binadamu ambazo nyingi zinatoka Brazil na India
Yaani unauza nywele zako kama ni ndefu kwa makampuni nao huziuza mpaka $3000
Huko Brazil wasichana walikuwa wanatekwa na watu na kunyolewa kwa nguvu na kwenda kuziuza
Sasa wengi wameamua kuzikata kabisa na kubakiza kidogo au nao kuvaa wigi rahisi tu.
Zipo wigs hizi sasa ambazo ni changanyikeni hizo za bei rahisi ambazo zinatengenezwa kutokana na manyoa ya mbuzi
Zina masharti nazo hakikisha mvua isikukute njiani utanuka kama beberu


Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
22,638
2,000
Ni nani asiyejiremba hapa duniani? Wewe mwenyewe unachonga nywele na kuvaa mavazi unayodhani yanakuvutia ili tu upendeze.

Wenzio wakienda mbali kwa kuvaa wig unaona nongwa?
Sasa boss kazi kwani mahitaji muhimu ya binadamu si yanafahamika au kumeongezeka na "WIGI"

Food, Clothes, Shelter...."wigi!"?!!
 

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
10,712
2,000
Wenyewe wanayapuliziaga pafyum na kuyapaka mafuta wigi la bei chee.. Kuna mengine mtaani yanauzwa hadi buku
Original ni nywele za binadamu ambazo nyingi zinatoka Brazil na India
Yaani unauza nywele zako kama ni ndefu kwa makampuni nao huziuza mpaka $3000
Huko Brazil wasichana walikuwa wanatekwa na watu na kunyolewa kwa nguvu na kwenda kuziuza
Sasa wengi wameamua kuzikata kabisa na kubakiza kidogo au nao kuvaa wigi rahisi tu.
Zipo wigs hizi sasa ambazo ni changanyikeni hizo za bei rahisi ambazo zinatengenezwa kutokana na manyoa ya mbuzi
Zina masharti nazo hakikisha mvua isikukute njiani utanuka kama beberu


Sent using Jamii Forums mobile app
Sent by anonymous user
 
Top Bottom