Unajisikiaje kuona ndugu yako wa damu anayehudumia familia yenu ni mmoja wa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya akina Mbowe?

Ofcoz I'm stupidy because I'm reasoning on behalf of your family.

You may find MBOWE as rubbish on your heart and believe your parents are most important than others parents. That you family deserves better than others but living God will never live your wishes.
Don't waste your time to answer idiot
 
Ni kukaa tu sawa siku yeyote anaweza kukufanyia mambo ya aibu kama siyo kukutoa roho na kukuzika hapo upenuni kama alivyofanya mwanangu manka.
 
Nafikiri watu wangeacha kutafuta huruma kwa jamii kwa kuandika maandiko kama haya badala yake wafocus na kutuonyesha shida iko wapi kutokana na ushahidi unaoendelea.

Kuna uzi mmoja jamaa amehoji kukutanankwa Urio, DCI na Kingai asubuhi huku Urio simu alipiga usiku na Kingai ni wa Arusha na kosa limetendwa DSM. Amehoji kufika Kingai mapema na yeye kukabidhiwa kosa la DSM ikiwa siyo kikosi maalum.

Interesting thread.

Hizi za kuomba huruma kwa kutaka watu wafeel guilty hazitafanya kazi.
 
Back
Top Bottom