kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,181
- 1,574
Za alfajiri hii,hivi umewahi kukutana na mtu ile kuzoeana tu kidogo au hata mmekutana siku ya kwanza tu anaanza kuelezea mafanikio yake na bata anazokula kwako?
Unajiepushaje au unawakataa vipi watu wa namna hii? Mimi najua kusifia juhudi zako na raha unazokula siyo jambo baya ila why ufosi kuji expose kwa mtu mliyezoeana muda mfupi tu?
Hii inanikera sana, unakuta mtu mmekutana siku ya 1 tu mala utaskia anaanza kuhakikisha unajuakila kitu chake, mbaya zaidi anakuambia vile vizuri tu, na mbaya mbaya zaidi bila hata kumuuliza. Hii ni inferiority complex au ni nini?
Yaweza kua sipo sahihi ila sidhani kama hu ni uungwana. Ya nini uhakikishe kila kitu kizuri ulichofanya, starehe zako n.k, anajua mtu fulani tena hata bila kukuuliza?
Yaani mtu mmekutana siku 2 ila daaah ashakuambia yote, mara nina nyumba kadhaa, mara leo nilikua kiwanja fulani.
Mara mzee wangu ni mtu fulani, in only 2 days real?
Kero mno hii