Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
610
733
Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi.

Mafundi wote ujenzi tunawapatia masomo ya bure kabisa kwa utumiaji wa bidhaa hizi mpya zenye ubora wa hali ya juu, zinazookoa muda na gharama za ujenzi. Masomo kuanzia siku moja mpaka wiki mbili, inategemea na aina za vifaa utazopendelea kujifunza.

Jenga nyumba isiyopandisha maji kwenye ukuta hata kama umeijenga bwawani. Tuna bidhaa tofauti za gharama nafuu zikiwemo tofari za zege zilizoundwa kwa viwango vya juu vya ubora, rasmi kwa ajili ya kujengea msingi wa nyumba. Tunakuokolea gharama kubwa za zege, tunakuokolea muda na kudhiti kabisa unyevu unaopanda ukutani.

IMG-20210103-WA0016.jpg

Unangoja nini? Wasiliana na Abraar Bricks 625249605.

Pia tuna mafundi waliofundishwa rasmi kutengeneza vifaa madhubuti kwa viwango na wenye nidhamu ya kazi.
 
Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi.


Uko mkoa gani mkuu? Wewe unauza kwa ujumla ? Una tovuti ya intaneti ?
 
Mngewekaga basi hivo vifaa vya ujenzi na gharama zake. AU mnataka mfuatwe inbox
 
Mngewekaga basi hivo vifaa vya ujenzi na gharama zake. AU mnataka mfuatwe inbox
Vifaa vya ujenzi ni ngumu sana kuweka gharama zake kwani vinategemea mambo mengi. Kuna vigezo vingi sana kwemye kifaa aina moja tu ya ujenzi. Mfanob atios, quantities na kinatymika wapi. Yote hayo yana matter sana.

Mfano tuna hollow blocks za muonekano uleule lakini zimeundwa kwa ratios aina tano tofauti na zinategemea "additives" utazohitaji na wingi utaouhitaji.

Mfano ipo hollow block ya kujengea msingi tu. Hii instrgemea na sehemu unapojenga, kuna yenye additives za kuzuia unyevu kupanda ukutani. Na kuna zenye kuzuwia maji kabisa kuzirowesha. Pia zipo za juu ya ardhi lakini zina tofauti za kujengea chumba kinachohitaji usalama mkubwa wa kati au hakina uhitaji wa usalama.

Tukielewa unahitaji kujenga nini na wapi tunakupa bei ya bidhaa hiyo hata hapa hapa si lazima kwenda private.

Kuna wengine hawapendi nyumba zao zimejengwa kwa bidhaa zipi na vipi kwa ajili ya usalama zaidi.

Natumai nimeeleweka.

Asante.
 
Wanatumia pervious concrete bila shaka kudesign hizo blocks za kwenye msingi.Gharama ni sh ngapi ukilinganisha na mawe?

Kuna unafuu wa 40% to 60% (overhaul costs) ukilinganisha na ujezi mwengine wowote. Ni bidhaa na labour cost kwa pamoja.
 
Mfano ungeweka ramani ya vyumba vitatu sebule na daining halafu ukafanya cost comparison ya ujenzi tuliozoea na huo unaotambulisha ingekuwa rahisi chief kueleweka
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Tutumie whaysapp 0625249605 tujulishe utakavyo tutakupatia halafu wewe ruhusa kuweka kwenye mitandao ya kijamii.

Wengine hatuna uzoefu sana wa hii mitandao.View attachment 2234065
Bei ya hizi tofali kwa moja ni bei gani,
Na labda ujenzi wa nyumba ya room 3, inaweza gharimu bei gani, yani mtupe mfano halisi sio kama mambo ya biashara ya mtandao kama akini foreverliving
 
Bei ya hizi tofali kwa moja ni bei gani,
Na labda ujenzi wa nyumba ya room 3, inaweza gharimu bei gani, yani mtupe mfano halisi sio kama mambo ya biashara ya mtandao kama akini foreverliving
Hizo ni tofari za outer walls tu. Kila moja ni Shillingi 2,000.

Unafuu unakuja kuwa haitumii cement ya mota kujengea wala hazihitaji plaster ya cemnt. Touchups tu za skimming.

Kwa ujenzi wetu tukiezeka na Abraar waffle zetu. Unapata unafuu wa bati, mbao, gypsum board na unakuwa tayari na uwezo wa kuongeza nyumba nyingine juu, ghorofa moja. Gharama ya kuongeza nyumba juu kwa vifaa vyrt7vyetu ni ziada ya mimillion byingine 20 tu.

Estimated kwa msingi wa kina cha meter moja chini ya ardhi mpaka kuezeka nyumba ya around square neters 120 floor area ni TZS 30 Miilion. Estimations ni kwa kutumia vifaa vyetu kuanzia msingi mpaka kuezeka. Wewe utanunua chuma na kuhskikidha unatupatia maji ya ujenzi.

Hapo tunakujengea na jengo la vyoo viwili vya nje kwa kutumia round blocks zetu za kipekee bila ghsrama ya ziada.

Note: ikiwa utajenga kwenye maeneo yetu mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha au Mduzi, kuelekea Boza Beach ukitokea Mlandizi utapata kiwanja cha 20 x 40 kwa gharama hizo hizo.


Unafuu mwengine ni kuwa hauhitaji kuwa na pesa zote mara moja. Kama kiwsnja ni chako tunaanza kukujengea kwa malipo ya taratibu taratibu bila riba bila hidden charges

Ramani za jengo na vibali vya ujenzi ni gharama zako.

Kama una maswali zaidi uliza tu hapa hapa au whatsapp 0625249605.

Programme yetu ya ujenzi inaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Ni non profit programme.
 
Je bei zikoje.
Kazi nzuri
Kauli mbiu yetu ni Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.

Juu kidogo hapo nimeelezea bei zetu kwa baafhi ya vitu.

Tuna vifaa aina nyingi sana si rahisi kuweka bei ya kila kitu hapa. Lakini tunakuhakikishia ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Sisi tuko kiuwezeshaji na si kibiashara.

Faida na furaha yetu ni pale tunapoiona tabasamu usoni mwa yeyote anaefaidika na mpango wetu unaoitwa Abraar Bricks Nyumba kwa wote.

Asante.
 
Tunazo floor slab blocks zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Zinakupunguzia sana kumwaga zege la sakafu.

Nashindwa kuziweka hapa, tutumie whatsapp 0625249605 ukipenda kuziona.
 

Attachments

  • 20220521_100706.jpg
    20220521_100706.jpg
    334.1 KB · Views: 79
  • 20220521_100729.jpg
    20220521_100729.jpg
    295.8 KB · Views: 79
  • 20220521_100714.jpg
    20220521_100714.jpg
    319.8 KB · Views: 74
Back
Top Bottom