Unaitaji fanyiwa usafi nyumbani au ofisini kwako ?

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Habari wadau .
Naitaji wateja wa kufanyiwa general cleanness kwenye ofisi zao/ nyumba . Tutakubaliana kgharama za madawa / vifaa na malipo mengine . Pia tutajadiliana kama unataka usafi wa jumla ; yani general cleanness ( intensive ) kama ni nyumbani iwe mara moja kwa wiki; ijumaa/jumamosi au jumapili , na kama unaitaji usafi wa kila siku , asubuhi mpaka jioni . Usimamizi ni mzuri sana, kwa maana kwamba vijana wa kazi watasimamiwa vizuri kufanya kazi zinazoitajika kwa kiwango na nidhamu ya hali ya juu . Ofisi tupo victoria . Kwa maelekezo zaidi tuma / ni pm, kwa ajili ya mawasiliano zaidi na contacts.
Karibuni na asante sana
mkurugenzi,
amieux general cleanness & supplies
 
Back
Top Bottom