sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,206
- 8,040
AiseeKuna mpangaji mwenzangu hapa ana mume wake bodaboda hajamaliza hata wiki picha linaanza asubhi anamtoa mtoto wake aje kuomba uji au chai yaan yy hapiki sana sana ataenda kununua chai au uji, ukifika mchana hapiki chochote mnachopika anataka mumpatia na yy , yaan wiki tu tushamchoka namuonea huruma sana binti yao maana wakat mwingine hata hawajui amekula nn na Yuko wapi....
Wanaume tuangalie sana wanawake wa kuoa jamani.
Hii mbona hatari!