NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,267
Nimepata vyumba vikubwa 15 katika maeneo tofauti dar es salaam mjini kati na mwanza pia, na sikupenda kufanya biashara nyingine mfano kua na restaurant au storage, clothing etc.. kila mtu anafanya hivo siku hizi... Instead nilipenda kitu tofauti kidogo, bongo kipo ila katika a different way na sio kitu ambacho kinafahamika kwa watu kabisa, hii kwa waliotembea nje sana UK, US au Korea hii kitu watakua wanaijua sana japo kwa market ya bongo sijui kama ni kitu kinachoweza kulipa kiasi hicho lakini its still worth trying bringing up something new, for as long as rooms zipo muda wowote kama sio worth it then ntabadilisha business haraka, sometimes biashara nyingine ikianguka ni kama kujifunza tu,
Itakua hivi...
Room moja inakua na vyumba saba vilivyogawanyishwa na kua soundproofed kwa ndani, na kila chumba kikikamilika kitakua na muonekano kama huu,
Its dark regardless ni mchana au usiku, some of the rooms ni undergrounds,
Inaitwa Karaoke room kwa watakaokua wamesikia, screen kubwa inakua kwa ndani, ambapo kunakua na remote control kubwa ina keyboard unaandika wimbo wowote unaoutaka then inaleta lyrics kwenye screen na beat, ndani kunakua na sound system kubwa na mic mbili kwa room za kawaida, na VIP rooms kubwa ambazo zinaweza chukua watu 10+ mic zinakua 5, miziki iliyopo kwa sasa ni ya nje, na ndani kunakua na camera mtu unaweza ukajirekodi ukiimba then nafikiria kuweka internet kwenye kila room ili mtu uweze ku-upload directly kwenda facebook au kwenye email clip utakayokua umejirekodi, na ni open from morning to late night...
Hizi ni kwa ajili ya familia outting kwa pamoja sehemu kama hii, mtu binafsi, wanaopenda kuimba, wafanyakazi kampuni moja muda wa ku-relax mnakaa na vinywaji sehemu kama hii na kuimba...hata ku-practice kuimba, na kwa walio na sauti mbovu si mbaya maana kunakua na echo system inanyosha sauti kidogo,
Service yenyewe itakua mtu analipia kiasi flani kutumia chumba kwa muda flani, say for example for normal rooms 5k for an hour na hiyo ni kwa chumba sio mtu moja... itategemea na price maana ni kitu sijapanga sasa hivi... Wewe kama mtanzania unapokeaje kitu kama hiki?
Sasa wadau naomba mcriticize, mchangie, mawazo yanakaribishwa, expecting ndani ya miezi miwili ijayo the business will be open i mean kila kitu kitakua kishamalizika, ila in case of emergency kubadilisha business pia inawezekana since TVs hizo na sound system kuuza zinauzika vizuri tu, furniture, hakuna kisichouzika hapo, sometimes loss inabidi mtu kama risk taker ukubali.... Just an idea came up since mimi binafsi napenda sana kwenda karaoke rooms almost every weekend with friends nikiwa nje kitu ambacho bongo sijawahi kiexperience kwa style hii