Unaionaje hii business idea

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,461
2,267
Nimepata vyumba vikubwa 15 katika maeneo tofauti dar es salaam mjini kati na mwanza pia, na sikupenda kufanya biashara nyingine mfano kua na restaurant au storage, clothing etc.. kila mtu anafanya hivo siku hizi... Instead nilipenda kitu tofauti kidogo, bongo kipo ila katika a different way na sio kitu ambacho kinafahamika kwa watu kabisa, hii kwa waliotembea nje sana UK, US au Korea hii kitu watakua wanaijua sana japo kwa market ya bongo sijui kama ni kitu kinachoweza kulipa kiasi hicho lakini its still worth trying bringing up something new, for as long as rooms zipo muda wowote kama sio worth it then ntabadilisha business haraka, sometimes biashara nyingine ikianguka ni kama kujifunza tu,

Itakua hivi...

Room moja inakua na vyumba saba vilivyogawanyishwa na kua soundproofed kwa ndani, na kila chumba kikikamilika kitakua na muonekano kama huu,
Karaoke.jpg

Its dark regardless ni mchana au usiku, some of the rooms ni undergrounds,
Inaitwa Karaoke room kwa watakaokua wamesikia, screen kubwa inakua kwa ndani, ambapo kunakua na remote control kubwa ina keyboard unaandika wimbo wowote unaoutaka then inaleta lyrics kwenye screen na beat, ndani kunakua na sound system kubwa na mic mbili kwa room za kawaida, na VIP rooms kubwa ambazo zinaweza chukua watu 10+ mic zinakua 5, miziki iliyopo kwa sasa ni ya nje, na ndani kunakua na camera mtu unaweza ukajirekodi ukiimba then nafikiria kuweka internet kwenye kila room ili mtu uweze ku-upload directly kwenda facebook au kwenye email clip utakayokua umejirekodi, na ni open from morning to late night...

Hizi ni kwa ajili ya familia outting kwa pamoja sehemu kama hii, mtu binafsi, wanaopenda kuimba, wafanyakazi kampuni moja muda wa ku-relax mnakaa na vinywaji sehemu kama hii na kuimba...hata ku-practice kuimba, na kwa walio na sauti mbovu si mbaya maana kunakua na echo system inanyosha sauti kidogo,

Service yenyewe itakua mtu analipia kiasi flani kutumia chumba kwa muda flani, say for example for normal rooms 5k for an hour na hiyo ni kwa chumba sio mtu moja... itategemea na price maana ni kitu sijapanga sasa hivi... Wewe kama mtanzania unapokeaje kitu kama hiki?

Sasa wadau naomba mcriticize, mchangie, mawazo yanakaribishwa, expecting ndani ya miezi miwili ijayo the business will be open i mean kila kitu kitakua kishamalizika, ila in case of emergency kubadilisha business pia inawezekana since TVs hizo na sound system kuuza zinauzika vizuri tu, furniture, hakuna kisichouzika hapo, sometimes loss inabidi mtu kama risk taker ukubali.... Just an idea came up since mimi binafsi napenda sana kwenda karaoke rooms almost every weekend with friends nikiwa nje kitu ambacho bongo sijawahi kiexperience kwa style hii

Karaoke room.jpg
karaokes.jpg
 
Jiridhishe zaidi kwa kujiuliza maswali maswali haya..!
1. Unataraji wateja wako watakuwa wakina nani.? I.e teenagers, aged wenye kazi zao tofauti na mziki.
2. Class ya wateja wako unataraji itakuwa ipi.? High income, medium or low.?
3. Hivyo vistudio vitaoperate kwa mida gani.? Weekdays 24/7, weekends 24/7, whole week 24/7 etc. Kumbuka kama unawalenga watu wazima na wafanyakazi idea ya kuoperate weekdays itoe maana wateja wako 98% watakuwa kazini and the like.

Ila all in all, kila biashara ina mteja wake, kaa chini uiplan vizuri yaweza kuwa profitable.
 
SIMPLY CALCULATION,WATEJA WAKO WENGI WATAKUWA NI TEENAGERS,MEANS MTU ATAIMBA HUKU VIDEO IKIMCHUKUA,WHY DON'T YOU MAKE MILLIONS AND MILLIONS SONGA MBELE,LAKiNI NAONA IS VERY COSTFULLY
 
thi is good idea but yo have to work on this,.

1. Will you be having a reliable power supply or you just depend only in Tanesco,.

2. Who will be your potential customers? Youths, Aged people,. E.t.c

3. Are you well commited to fulfill their interests in time,.

4.Does the locations of your rooms supports the idea,..

5. Have you discovered your competitors,..

'' Just answer these simple doubts of mine and have a safe way''
 
bado sana kwa uchumi kama wa tz mtu apoteze hela kisa kujirekodi iko luxurious sana labda kwa africa ni s.africa au nigeria tena kwa wateja wa kupishana masaa matano kabla.
 
Hii idea ni ngumu kuwa succesifully kwa mazingira ya bongo. Kwanza inatarget watu wenye interest ya kuimba. Ambao sio wengi kivile na hao wachache wenye interest hawana fweza za kulipa kwa saa...

Wabongo starehe yetu ni pombe na mademu tu. However you can modify it as follows;
1. Fungua music school, hizo room ziwe sehemu tu ya kufanyia mazoezi. Ila kuwe na walimu na vyombo. Watu wanaweza kujifunza wenyewew kwa kulipia kidogo au kuongeza fedha na kuwa trained na wanafunzi. Hspa utawapa teenagers wengi ambao wanapebda muziki na wanafikiria kywa wana mziki.

2. Weka sehemu za baa ambapo walevi wataimba mbele ya walevi wenzao. System yako itakuwa intergrated na sound system ya bar husika watu wakiimba inasikika kote, na pamoja na lirics unstakiwa uwe na instrumental ya wimbo husika. Walevi watalipia kupanda jukwwani na watalipia zaidi wakitaka kuondoka na kazi zao.

3. Nimesahau, ngoja nimalizie kili yangu
 
Nimepata vyumba vikubwa 15 katika maeneo tofauti dar es salaam mjini kati na mwanza pia, na sikupenda kufanya biashara nyingine mfano kua na restaurant au storage, clothing etc.. kila mtu anafanya hivo siku hizi... Instead nilipenda kitu tofauti kidogo, bongo kipo ila katika a different way na sio kitu ambacho kinafahamika kwa watu kabisa, hii kwa waliotembea nje sana UK, US au Korea hii kitu watakua wanaijua sana japo kwa market ya bongo sijui kama ni kitu kinachoweza kulipa kiasi hicho lakini its still worth trying bringing up something new, for as long as rooms zipo muda wowote kama sio worth it then ntabadilisha business haraka, sometimes biashara nyingine ikianguka ni kama kujifunza tu,

Itakua hivi...

Room moja inakua na vyumba saba vilivyogawanyishwa na kua soundproofed kwa ndani, na kila chumba kikikamilika kitakua na muonekano kama huu,
View attachment 124786

Its dark regardless ni mchana au usiku, some of the rooms ni undergrounds,
Inaitwa Karaoke room kwa watakaokua wamesikia, screen kubwa inakua kwa ndani, ambapo kunakua na remote control kubwa ina keyboard unaandika wimbo wowote unaoutaka then inaleta lyrics kwenye screen na beat, ndani kunakua na sound system kubwa na mic mbili kwa room za kawaida, na VIP rooms kubwa ambazo zinaweza chukua watu 10+ mic zinakua 5, miziki iliyopo kwa sasa ni ya nje, na ndani kunakua na camera mtu unaweza ukajirekodi ukiimba then nafikiria kuweka internet kwenye kila room ili mtu uweze ku-upload directly kwenda facebook au kwenye email clip utakayokua umejirekodi, na ni open from morning to late night...

Hizi ni kwa ajili ya familia outting kwa pamoja sehemu kama hii, mtu binafsi, wanaopenda kuimba, wafanyakazi kampuni moja muda wa ku-relax mnakaa na vinywaji sehemu kama hii na kuimba...hata ku-practice kuimba, na kwa walio na sauti mbovu si mbaya maana kunakua na echo system inanyosha sauti kidogo,

Service yenyewe itakua mtu analipia kiasi flani kutumia chumba kwa muda flani, say for example for normal rooms 5k for an hour na hiyo ni kwa chumba sio mtu moja... itategemea na price maana ni kitu sijapanga sasa hivi... Wewe kama mtanzania unapokeaje kitu kama hiki?

Sasa wadau naomba mcriticize, mchangie, mawazo yanakaribishwa, expecting ndani ya miezi miwili ijayo the business will be open i mean kila kitu kitakua kishamalizika, ila in case of emergency kubadilisha business pia inawezekana since TVs hizo na sound system kuuza zinauzika vizuri tu, furniture, hakuna kisichouzika hapo, sometimes loss inabidi mtu kama risk taker ukubali.... Just an idea came up since mimi binafsi napenda sana kwenda karaoke rooms almost every weekend with friends nikiwa nje kitu ambacho bongo sijawahi kiexperience kwa style hii

View attachment 124788
View attachment 124789

ili uwe tajiri lazima uthubutu kufanya jambo ambalo wengine wanaliogopa , na kingine jambo unalolipenda ambavyo wewe unavyo , uta win mkuu komaa usikatishwe tamaa , wabongo hapo walitaka useme kutakuwa na vyumba vya ku do michango ingekuwa mingi mno na kweli ungepata kwani huko ndiko tunakowaza muda wote
 
Nimepata vyumba vikubwa 15 katika maeneo tofauti dar es salaam mjini kati na mwanza pia, na sikupenda kufanya biashara nyingine mfano kua na restaurant au storage, clothing etc.. kila mtu anafanya hivo siku hizi... Instead nilipenda kitu tofauti kidogo, bongo kipo ila katika a different way na sio kitu ambacho kinafahamika kwa watu kabisa, hii kwa waliotembea nje sana UK, US au Korea hii kitu watakua wanaijua sana japo kwa market ya bongo sijui kama ni kitu kinachoweza kulipa kiasi hicho lakini its still worth trying bringing up something new, for as long as rooms zipo muda wowote kama sio worth it then ntabadilisha business haraka, sometimes biashara nyingine ikianguka ni kama kujifunza tu,

Itakua hivi...

Room moja inakua na vyumba saba vilivyogawanyishwa na kua soundproofed kwa ndani, na kila chumba kikikamilika kitakua na muonekano kama huu,
View attachment 124786

Its dark regardless ni mchana au usiku, some of the rooms ni undergrounds,
Inaitwa Karaoke room kwa watakaokua wamesikia, screen kubwa inakua kwa ndani, ambapo kunakua na remote control kubwa ina keyboard unaandika wimbo wowote unaoutaka then inaleta lyrics kwenye screen na beat, ndani kunakua na sound system kubwa na mic mbili kwa room za kawaida, na VIP rooms kubwa ambazo zinaweza chukua watu 10+ mic zinakua 5, miziki iliyopo kwa sasa ni ya nje, na ndani kunakua na camera mtu unaweza ukajirekodi ukiimba then nafikiria kuweka internet kwenye kila room ili mtu uweze ku-upload directly kwenda facebook au kwenye email clip utakayokua umejirekodi, na ni open from morning to late night...

Hizi ni kwa ajili ya familia outting kwa pamoja sehemu kama hii, mtu binafsi, wanaopenda kuimba, wafanyakazi kampuni moja muda wa ku-relax mnakaa na vinywaji sehemu kama hii na kuimba...hata ku-practice kuimba, na kwa walio na sauti mbovu si mbaya maana kunakua na echo system inanyosha sauti kidogo,

Service yenyewe itakua mtu analipia kiasi flani kutumia chumba kwa muda flani, say for example for normal rooms 5k for an hour na hiyo ni kwa chumba sio mtu moja... itategemea na price maana ni kitu sijapanga sasa hivi... Wewe kama mtanzania unapokeaje kitu kama hiki?

Sasa wadau naomba mcriticize, mchangie, mawazo yanakaribishwa, expecting ndani ya miezi miwili ijayo the business will be open i mean kila kitu kitakua kishamalizika, ila in case of emergency kubadilisha business pia inawezekana since TVs hizo na sound system kuuza zinauzika vizuri tu, furniture, hakuna kisichouzika hapo, sometimes loss inabidi mtu kama risk taker ukubali.... Just an idea came up since mimi binafsi napenda sana kwenda karaoke rooms almost every weekend with friends nikiwa nje kitu ambacho bongo sijawahi kiexperience kwa style hii

View attachment 124788
View attachment 124789

5k ni gharama ya kurekod na full mixing kwenye studio kbwa na maarufu hapa dar. So kwa mimi ambaye ninapenda kuimba na kujiimbisha nitaenda kwenye vistudio vya uswaz au kwa majamaa wenye fl au qubase na nikajirekodisha kisha nijirekod pia kisha ntupie mitandaon au nimpe mama yeyoo kuliko kwenda kariokee then nilipe that money. Its a good idea bt not for this economy
 
Mkuu kwenda karaoke haimanishi kurekodi, na sijaongelea shilingi laki tano, naongelea shilingi elfu tano, kwa nini nimchaji mtu saa moja shilingi laki tano hata millionaire hawezi kulipa hiyo hela kwa saa moja, n siyo kurekodi, ni kuimba tu just as fun, n kama sio hivo hiyo yaweza kua kama meeting place watu wanakutana wanakaa na ku-relax, drink etc... since ni elfu tano kwa room wakiwa watu watano manake watachange buku buku, ni mtu mwenyewe tu..
 
Hii idea ni ngumu kuwa succesifully kwa mazingira ya bongo. Kwanza inatarget watu wenye interest ya kuimba. Ambao sio wengi kivile na hao wachache wenye interest hawana fweza za kulipa kwa saa...

Wabongo starehe yetu ni pombe na mademu tu. However you can modify it as follows;
1. Fungua music school, hizo room ziwe sehemu tu ya kufanyia mazoezi. Ila kuwe na walimu na vyombo. Watu wanaweza kujifunza wenyewew kwa kulipia kidogo au kuongeza fedha na kuwa trained na wanafunzi. Hspa utawapa teenagers wengi ambao wanapebda muziki na wanafikiria kywa wana mziki.
Ahsante kwa idea yako mkuu, hasa hicho kipengele cha kwanza, ntalifikiria hilo...
 
bado sana kwa uchumi kama wa tz mtu apoteze hela kisa kujirekodi iko luxurious sana labda kwa africa ni s.africa au nigeria tena kwa wateja wa kupishana masaa matano kabla.
Uchumi wa bongo still bongo i think watu wanapenda relaxing na marafiki au family, uchumi wa 5000 kwa dar, wakiwa watu watano watajichanga bukubuku wataenda kula bata which is obviously kitu ambacho bongo wengi uwezo huo wanao.. Kama watu wanavojaza vocha kila siku kuingia facebook.. n yes, target kubwa itakua ni kwa vijana, hii ni trial ndio maana ntaanza na rooms chache sio zote,
 
thi is good idea but yo have to work on this,.
1. Will you be having a reliable power supply or you just depend only in Tanesco,.
2. Who will be your potential customers? Youths, Aged people,. E.t.c
3. Are you well commited to fulfill their interests in time,.
4.Does the locations of your rooms supports the idea,..
5. Have you discovered your competitors,..
'' Just answer these simple doubts of mine and have a safe way''
Thanks for your questions,
1. Yes there is a reliable power suppply, 24/7 in case of power cut
2. My potential customers i think Youths mostly, its rare for aged people to attend such places for fun, maybe if it is for the case of the whole family attending together.
3. Talking about commitment, this is something i love so obviously i am so committed in this, that's why am giving t a try in Tz.
4. Room locations, Yes i think they support the idea, note i said they are located in city centre for both mwanza and dar
5. Talking of competitors, maybe i ask a question, Have you seen a karaoke room like the one i showed u above in any area in Tanzania, talkin on the case of Dar n Mwanza? n Yes i agree there are some places (very very few) with karaoke, in some big hotels mostly, n not karaoke room per say, its just like a pub but with a screen n a mic where one sings, so its totally different to my idea...

I hope i have cleared your doubts, any more doubts i would appreciate if you ask!
 
Mkuu hii idea ni ya kipekeee sna hongera and mkuu ila Nona maswal...je ishu kuu hpo itakuws kuimba tu ? Au Kuna kitu kingine tofaut je km mtu hapend kuimba anaweza kwenda kwny hyo sehem hyo kwa huduma nyongine tofaut
Thank mkuu... Yes, am planning kufanya vitu vingine pia, ila vyote vitahusika na entertainment, na since big rooms zitakuwepo pia still itatumika kama meeting room, for as long as mtu analipia kwa muda flani hapo ni mtu mwenyewe tu atapenda kufanya nini kwa huo muda..
 
Bonge la idea. Nawafikiria vijana wote wanaofanya kazi banks na kwenye makampuni ya simu hapo itakuwa hangout yao. Ila hakikisha unakuwa na pombe na chakula kizuri sana, na usisahau usafi wa hali ya juu
 
Thanks...Hapo kwenye red nitakua napo makini sana kuhakikisha pako sawa 99%
 
Hii kitu nilishawahi kuiona kwenye muvi ya shanghai kiss

Fanyia kazi wazo hili, najua mwanzoni itakuwa ni ngumu kuiendesha lakini utaendelea kuboresha kutokana na mahitaji ya wateja wako.
Kuna watu walianza na pub lakini leo hii wameongezea na club eneo hilo hilo. Weka wazo lako ktk vitendo kaka watakuelewa tu ingawa mwanzoni itakuwa kitu kigeni si unaona playstation zinavyotesa uswazi? Ukifanikisha nitaomba uzoef kutoka kwako.

Invested money can render higher profits only if it is subject to the possibility of being lost.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom