Unaingia Kwenye ndoa kwa ajili ya raha na mapenzi au kuvumilia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaingia Kwenye ndoa kwa ajili ya raha na mapenzi au kuvumilia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Natalia, Oct 31, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mara nyingi sana kwenye maharusi unasikia vumilia.why ,
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Yote yana apply kwavile hakuna mema matupu!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,257
  Trophy Points: 280
  Mapenzi kizunguzungu.
  Leo matamu kuliko asali,
  kesho machungu kama denda la maiti,
  ukiingia kwenye ndoa, siku ya utamu furahia,
  na siku ya uchungu vumilia


  [​IMG]

  ________
   
 4. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Uvumilivu bora nikae kwetu ndoa ni paradiso ya duniani katika kipindi cha kati ya maisha yetu kabla ya kifo iweje leo ndoa iwe mateso wafrika ss bana unitese nivumilie hapa ni mwendo wa lopez tu.


  Nayanda bint mahaba.
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 6. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280


  uvumilivu hutakiwa
  kwani sio siku zote zitakua ni za furaha
  sasa furaha inapokosekana kwa siku kadhaa uvumlivu na kuvumiliana kunahusu sana
  na sio kubeba mabegi na kuondoka au kuanza kutanga tanga nje kutafuta kujiongezea matatizo mengine
   
 7. N

  Natalia JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
   
 8. N

  Natalia JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wengine wanateseka lol
   
 9. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vyote vina apply 7babu unaenda kuishi na mtu ambaye mmekulia ktk different background,tabia tofauti na mitazamo tofauti thats why tofauti zinakuwepo.Na pia not always itakuwa mteremko tu kuna ups and downs, raha na karaha pia ndo maana ya kuvumilia.
   
 10. N

  Natalia JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kazi kwelikweli
   
 11. ram

  ram JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Akha! Nivumilie hadi lini, uchungu ukizidi najiweka pembeni naepusha msongamano manake mengine hayavumiliki kabisa
   
Loading...