Unaikumbuka CHADEMA hii ya Dr. Slaa, Zitto, Lissu na Mnyika!!

Mkuu usijitoe ufahamu hayo yalishamalizwa ndani ya kamati kuu kabla hawajampitisha kugombea urais au unafkiri wangempitisha lowassa huku wakijua kabisa anaweza funguliwa kesi ya uhujumu uchumi!!!!

Kma hiyo ndio hoja kuinanga CHADEMA hivi si Kina mwigulu na kikwete walisema padri slaa ni mzinifu, msaliti wa dini cjui kibaraka wa wazungu na kwamba hastahili hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji leo mbona CCM hiyo hiyo imempa ubalozi!!! Funny
unafananisha alivyochafuliwa lowasa na dr slaa mkuu hauko siliasi? TULISEMA NI MWIZI FISADI NA USHAHIDI TUKATOA. MI KWAKWELI NILISHINDWA KUMPAMBA TENA EDO.
 
Hii combination ya uongozi pale Ufipa ilisaidia sana kuijenga Chadema. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja wakimshirikisha pia Prof Kitila na waliweza kukitetea kile wanachokiamini. Zama hizi kwa mbali naiona combination mpya pale Ufipa ya Lowassa - Mbowe - Lema - Msigwa ila bado nafuatilia ufanisi wake. Je mdau wewe binafsi unazitazamaje hizi timu hizi mbili. Ijumaa njema!
Wafuate wasaliti wenzako huko, usitutie kinyaa hapa
 
Kipi ambacho huelewi..... Katiba inayotumika sasa ndio ilitumika awamu iliopita tofauti ni kwamba Rais wa sasa hataki kuheshimu sheria ya vyama

Sasa mpaka hapo mazingira ni tofauti huwezi linganisha upinzani awamu ya kikwete na sasa awamu ya magufuli..... Hta ssa hivi kma siasa ingeruhusiwa usingekuwa unayasema haya

Hivyo whether wapinzani wamepigania haki zao ama la ila haiondoi ukweli kwamba hao uliowataja. Kwa sasa wanaoperate mazingira tofauti kabisa sio haki kulinganisha

Kazi Moja wapo ya Vyama bya Siasa ni kushinikiza Serikal inaheshimu Sheria na Katiba na Kama Kila kitu inapaswa kiende chenyewe automatic Sasa Vyama vya Upinzani ni vya kazi gani?
 
Kazi Moja wapo ya Chama cha Upinzani ni kushinikiza Serikal kwenye Madai Yao ya kimsingi na Kikatiba

Kama mmepigwa Marufuku kufanya Siasa nanyi mkatii bila ya kuchukua hatua na mbinu mbali mbali huo ni Moja ya udhaifu wenu

Haki za kidemokrasia hupiganiwa haiji automatic Kama mawimbi ya Bahari
Ni aibu kujivunia udikteta na tabia mbovu zilizokuwa za mkoloni miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru.

Mapambano yanaendelea kwa gharama kubwa ya maisha, usumbufu na uharibifu.

Mapandikizi na wanaonunulika mnawaona huko kwenu.

Ushindi ni lazima, ndivyo historia inavyoonesha.
Amen.
 
Unayakumbuka matendo ya kikwete kwa wapinzani?Baada ya hapo angalia matendo watendewayo wapinzani kwa sasa.Rejea wimbo wa professor J.uitwao nang'atuka.
 
Nazani wewe umezaliwa 2015. Dr slaa alivunjwa mkono harusini? Na Lipumba alikula mkong'oto kwenye kitchen part?
Dr. Slaa alivunjika mkono akiwa bafuni Mwanza kwenye kampeni za uraisi mwaka 2010 na alitibiwa for the first time Bugando Hospital, hospitali inayo milikiwa na kanisa la Roman Cathoric; una lingine? Ubishi wa kitoto hua sipendagi, mazingira ya kufanya siasa Enzi za JK na Mkapa ni tofauti sana na sasa hivi, yaani kama hata kulinganisha nyakati tu huwezi then labda wewe ndio umezaliwa juzi. Nimeanza kupiga KURA mwaka 1990 so najua vyama vingi vilivyo anza hali ilikuaje na sasa hali ikoje.
 
Wewe nawe mpumbavu tu kabisa, hao uliowataja mliwapiga na virungu, maji ya washawasha, mabomu ya machozi, wengine mliwavunja miguu na mikono mfano Dr.Slaa.Hawa wa leo wamekuwa vichomi zaidi kwenu hadi mmeamua kuwaua kabisa.
Ulichoandika ni ujinga mtupu.
 
Kazi Moja wapo ya Vyama bya Siasa ni kushinikiza Serikal inaheshimu Sheria na Katiba na Kama Kila kitu inapaswa kiende chenyewe automatic Sasa Vyama vya Upinzani ni vya kazi gani?
Lisu alishinikiza akapigwa risasi

Ben saanane alipinga udikteta kwa maandiko yake aliishia kutoweka!!

Mbowe alipinga zuio la mikutano alipokuwa mwanza ila kesi ikamalizwa kijanja kwa ushindi wa polisi na in turn akaishia kulala selo

Salum mwalimu alipigania haki ya wapinzani kukutana akafungwa jela huko itilima wiki 2

Mdee na bulaya walipinga uonevu wa wabunge wa upinzani wakaishia kufukuzwa mwaka mzima ilihali mbunge waliyemtetea alifungiwa siku 5 pekee

Walipotaka kuorganise UKUTA wakaitisha majeshi yote kuingia barabarani

Hivi kipi ambacho upinzani bado hawajafanya kushinikiza serikali itende haki ????

Tuache ushabiki magufuli anakosea sana kuwabana wapinzani nyie mnaoshabikia hivi CHADEMA ikifa leo mtafaidika nni?? Ilihali nchi zilizoendelea kma US na Uingereza vyama vya upinzani vinakuwa encouraged sana ila Tanzania utaskia magufuli anatumbua majipu hakuna haja ya upinzani...... Ngozi nyeusi tuna laana sio bure
 
Umemfunga mikono unaepigana nae, halafu unadai mbona hatupi ngumi za usoni kama zamani. Ungekuwa mkweli kwa nafsi yako ungeona aibu hata kuuliza hayo.
Hapa ni nani kafungwa mikono na miguu na midomo pia??
Wewe ni nyumbu wa grade one.
20180216_153321.png
 
Dr Mihogo mbona kajisalimisha kwa mafisadi ccm na aliapa kumfunga Magufuli kwa kuuza nyumba za serikali endapo angeshinda urais?

Bangi zako hazitakuacha salama. Mambo ya ahadi Rudi kwako n ahadi zako. Lisu. Lema. Nk. Pima uone nani kati y Slaa na hao ni mwanamume anayejua lipi La msingi. By the way. JPM alikuwa waziri. Kama alivyotaka kubomoa ubungo Plaza wakati ule .na pinda akazuia. Kusingekuwa na kesi. We ni mjinga wa kwanza na wa mwisho. So slaa asitumikie Nchi. Who are you. Uchama uchwara huo wewe. Embu badilika acha bangi na Viroba. Stupid
 
Wewe nawe mpumbavu tu kabisa, hao uliowataja mliwapiga na virungu, maji ya washawasha, mabomu ya machozi, wengine mliwavunja miguu na mikono mfano Dr.Slaa.Hawa wa leo wamekuwa vichomi zaidi kwenu hadi mmeamua kuwaua kabisa.
Ulichoandika ni ujinga mtupu.
Kamanda naona umekwazika sana!
 
Back
Top Bottom