Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
nashangaaa na kwabahati mbaya hatuoni, inatakiwa mabadiliko makubwa sana ili tuwe na upinzani wa kweli.Hii ya Lowasa haina tofauti na genge la wanyang'anyi.
nashangaaa na kwabahati mbaya hatuoni, inatakiwa mabadiliko makubwa sana ili tuwe na upinzani wa kweli.Hii ya Lowasa haina tofauti na genge la wanyang'anyi.
wa lowasa waoga kwani nilini ccm iliacha kutumia jeshi la polisi? tukubali hii ya lowasa dhaifu sana. wko wapi akina mnyika?Ha ha ha ha.. Sisiemu wanajitekenya na kucheka wenyewe.. Wekeni silaha chini, na muache kulitumia jeshi la polisi kudhibiti Chadema, kisha ndo mje kusema haya mnayosema..
Haki za kidemokrasia hupiganiwa haiji automatic Kama mawimbi ya BahariKazi Moja wapo ya Chama cha Upinzani ni kushinikiza Serikal kwenye Madai Yao ya kimsingi na Kikatiba
Kama mmepigwa Marufuku kufanya Siasa nanyi mkatii bila ya kuchukua hatua na mbinu mbali mbali huo ni Moja ya udhaifu wenu
Haki za kidemokrasia hupiganiwa haiji automatic Kama mawimbi ya Bahari
naona umesaha akina DR Slaa walivyovunjwa mikono, umesahau morogoro walivyouwawa, umesahau arusha. hakuna chadema kama ya dr slaa, ya sasa dhaifu mnoo. kwanza kila mtu anandevu hajulikani nani wakumdhibiti nani, ndo maana lowasa anaenda ikulu na chama hakijui.Kununulika huambatana na Smg ukileta ubishi ambao hawataki kuuza utu wao umeoana wanavyoteseka.
Nazani wewe umezaliwa 2015. Dr slaa alivunjwa mkono harusini? Na Lipumba alikula mkong'oto kwenye kitchen part?Ili ufanye comparison vizuri yangefanyika haya kwanza ndio tuone hi colabo imeka poa au vibaya:-
1. Bunduki zitumike kwa waharifu tu.
2. Tusifanye utekaji wa wafuasi, tubishane kwa hoja.
3. Turuhusu mikutano na maandamano kama Enzi za JK.
Hiyo colabo ulioisifia hayo mambo 3 yalikua hivyo, leo ukifanya mkutano tu wa hadhara tayari charge yako inakua imeisha tengenezwa hata kabla ya mkutano, hapo unategemea nini!?
Hatujawahi kuwa na mazingira rafiki mkuu.Sasa hata hiyo operation sangara unayoongelea sahivi haziruhusiwi mpaka 2020 sasa hata wangekuwepo wangekuwa na makali yeyote tena kwa mazingira haya ya kisiasa??
Nafkiri mngerudisha mazingira ya siasa za awamu ya 4 ndio tungepata clear picture kma CHADEMA imekufa ama lah
Udhaifu wa kupigana au kutetea madaraka?naona umesaha akina DR Slaa walivyovunjwa mikono, umesahau morogoro walivyouwawa, umesahau arusha. hakuna chadema kama ya dr slaa, ya sasa dhaifu mnoo. kwanza kila mtu anandevu hajulikani nani wakumdhibiti nani, ndo maana lowasa anaenda ikulu na chama hakijui.
vyote mkuu hakuna tena,Udhaifu wa kupigana au kutetea madaraka?
Haki haiombwi bali hupiganiwa. Na hii ni mojawapo ya udhaifu wa chadema ya sasaSasa hata hiyo operation sangara unayoongelea sahivi haziruhusiwi mpaka 2020 sasa hata wangekuwepo wangekuwa na makali yeyote tena kwa mazingira haya ya kisiasa??
Nafkiri mngerudisha mazingira ya siasa za awamu ya 4 ndio tungepata clear picture kma CHADEMA imekufa ama lah
mkuu kwa kipindi kile chama kilikuwa kinaenda kwa umoja wao na ndo maana JK ALIKUWA ANAOGOPA, saizi chama kila mtu anajitosa kivyake tunamtegemea TUNDULISU TU, hahahah eeeti na yule dada wamarekani anayetukana watu. turudi kwa umoja halafu tuone watuuwe woote kwa umoja wetu, SHIDA WENGI WANABEI (WANANUNULIKA)Hatujawahi kuwa na mazingira rafiki mkuu.
Mikutano haijaanza kukatazwa leo -Tuache visingizio vya kimange kimambi.
Mikutano ilishazuiwa enzi zile na wananchi walipoteza maisha na kuumizwa sana kupambana na mazuio.
Tukiri tu kuwa kwa sasa tumelegea mno! na tangu tusombe MAFISADI ya CCM na kupoteza ajenda wananchi wametustukia.
Nani yupo tayari kupambana na jamaa alishatangaza HAJARIBIWI?
Hapa ndipo kwenye anguko la chadema. Baada ya kula matapishi yao wanaojielewa waliachana nao, wakabaki manyumbu.View attachment 696414
Makamanda kama kawa na ubongo wa panzi.
Kipi ambacho huelewi..... Katiba inayotumika sasa ndio ilitumika awamu iliopita tofauti ni kwamba Rais wa sasa hataki kuheshimu sheria ya vyamaKazi Moja wapo ya Chama cha Upinzani ni kushinikiza Serikal kwenye Madai Yao ya kimsingi na Kikatiba
Kama mmepigwa Marufuku kufanya Siasa nanyi mkatii bila ya kuchukua hatua na mbinu mbali mbali huo ni Moja ya udhaifu wenu
Haki za kidemokrasia hupiganiwa haiji automatic Kama mawimbi ya Bahari
Embu kuwa serious..... Karatu kata karibu zote zilibaki chadema mpaka mbunge sasa kma kwake kabisa walimkataa nani alimfuata slaaHapo umechanganya mkuu. Wanaomsifu Dr slaa sasaiv sio ccm ila ni wale waliokimbia chadema baada ya Dr slaa kuondoka. Ni wafuasi wa Dr slaa siku zote. Hapa ndipo chadema ilipopoteza wanachama wengi.
Mikutano ilikuwa inaruhusiwa hata kma figisu zilikuwepo ila visingizio vya kipolisi tu ila sikuwahi sikia mtu anasema MARUFUKU mpaka 2020 huo hukuwahi tamkwa hadharani ndio hoja yangu sasa bila M4C chama kitasambaaje watu wasikilize sera??? Kma mikutano haisadii mbona magufuli anafanya si angekuwa anaongelea ikulu tu kila siku au mikutano na viongozi pekeeHatujawahi kuwa na mazingira rafiki mkuu.
Mikutano haijaanza kukatazwa leo -Tuache visingizio vya kimange kimambi.
Mikutano ilishazuiwa enzi zile na wananchi walipoteza maisha na kuumizwa sana kupambana na mazuio.
Tukiri tu kuwa kwa sasa tumelegea mno! na tangu tusombe MAFISADI ya CCM na kupoteza ajenda wananchi wametustukia.
Nani yupo tayari kupambana na jamaa alishatangaza HAJARIBIWI?
Ndio msilinganishe sasa mazingiraHaki haiombwi bali hupiganiwa. Na hii ni mojawapo ya udhaifu wa chadema ya sasa
Mkuu usijitoe ufahamu hayo yalishamalizwa ndani ya kamati kuu kabla hawajampitisha kugombea urais au unafkiri wangempitisha lowassa huku wakijua kabisa anaweza funguliwa kesi ya uhujumu uchumi!!!!Vipi Mbowe, Lema na Msigwa waliapa nini kuhusu Lowasa.