Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,618
- 3,083
Iil258i576or893Kazi Moja wapo ya Chama cha Upinzani ni kushinikiza Serikal kwenye Madai Yao ya kimsingi na Kikatiba
Kama mmepigwa Marufuku kufanya Siasa nanyi mkatii bila ya kuchukua hatua na mbinu mbali mbali huo ni Moja ya udhaifu wenu
Haki za kidemokrasia hupiganiwa haiji automatic Kama mawimbi ya Bahari
Vipi Mbowe, Lema na Msigwa waliapa nini kuhusu Lowasa.