Unaikumbuka CHADEMA hii ya Dr. Slaa, Zitto, Lissu na Mnyika!!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,781
Hii combination ya uongozi pale Ufipa ilisaidia sana kuijenga Chadema. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja wakimshirikisha pia Prof Kitila na waliweza kukitetea kile wanachokiamini. Zama hizi kwa mbali naiona combination mpya pale Ufipa ya Lowassa - Mbowe - Lema - Msigwa ila bado nafuatilia ufanisi wake. Je mdau wewe binafsi unazitazamaje hizi timu hizi mbili. Ijumaa njema!
 
Dr Mihogo mbona kajisalimisha kwa mafisadi ccm na aliapa kumfunga Magufuli kwa kuuza nyumba za serikali endapo angeshinda urais?
 
Chadema ya sasa haina agenda wala ilani ya chama wagombea wao kujinadi hujinadi vile.wanavyoota vyovyote.
chadema inatakiwa ilielewe hili kwanza kisha tujipange upya na mashambulizi mapya.
 
Ya lowasa na hiyo ipi imeipa shida ccm ktk uchaguzi mkuu? Hapo ndo tutajua ipi ilikuwa bora bila ya hivyo ni porojo na kujipoza machungu.
hii ya lowasa imekuwa nyepesi saana kwa ccm ndo maana hata watu wananunulika kirahisi na ccm.
 
Ili ufanye comparison vizuri yangefanyika haya kwanza ndio tuone hi colabo imeka poa au vibaya:-

1. Bunduki zitumike kwa waharifu tu.
2. Tusifanye utekaji wa wafuasi, tubishane kwa hoja.
3. Turuhusu mikutano na maandamano kama Enzi za JK.

Hiyo colabo ulioisifia hayo mambo 3 yalikua hivyo, leo ukifanya mkutano tu wa hadhara tayari charge yako inakua imeisha tengenezwa hata kabla ya mkutano, hapo unategemea nini!?
 
Hii combination ya uongozi pale Ufipa ilisaidia sana kuijenga Chadema. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja wakimshirikisha pia Prof Kitila na waliweza kukitetea kile wanachokiamini. Zama hizi kwa mbali naiona combination mpya pale Ufipa ya Lowassa - Mbowe - Lema - Msigwa ila bado nafuatilia ufanisi wake. Je mdau wewe binafsi unazitazamaje hizi timu hizi mbili. Ijumaa njema!
Mkuu siasa za Tanzania ifike kipindi tuache unafki... Kipindi hao wapo mazingira ya kisiasa yalikuwa tofauti na sasa ndio maana waliwika ila CHADEMA ya sasa inapambana kwenye vipindi vigumu sana ambapo kuwa mpinzani ni dhambi ndio maana unaweza ona kma hawana makali yale ya awamu ya 4

Kingine nachoshangaa enzi dk slaa yupo wana CCM mlikuwa mnamuita mzee wa matamko na maandamano ila leo nashangaa nyie ndio mnamuita eti CHADEMA YA SLAA ILIKUWA JUU
 
Ha ha ha ha.. Sisiemu wanajitekenya na kucheka wenyewe.. Wekeni silaha chini, na muache kulitumia jeshi la polisi kudhibiti Chadema, kisha ndo mje kusema haya mnayosema..
 
Hii combination ya uongozi pale Ufipa ilisaidia sana kuijenga Chadema. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja wakimshirikisha pia Prof Kitila na waliweza kukitetea kile wanachokiamini. Zama hizi kwa mbali naiona combination mpya pale Ufipa ya Lowassa - Mbowe - Lema - Msigwa ila bado nafuatilia ufanisi wake. Je mdau wewe binafsi unazitazamaje hizi timu hizi mbili. Ijumaa njema!

Ukiziangalia hizo team mbili! lazima uishie kucheka tu.
 
Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika, Kitila, Benson Kigaila, Mawazo

Kwenye Operation Sangara nilikosa raha sana kwa kweli enzi zile maana nilianza kuona Nyufa ndani ya CCM !

Ile chemistry naifananisha na Timu ya Taifa ya Ufaransa ya 1998 ya kina Thiery Henry, Zenadine Zedane, Vierra n.k

Chadema ile inaweza kurudi Tena baada ya Robo Karne
 
Sasa hata hiyo operation sangara unayoongelea sahivi haziruhusiwi mpaka 2020 sasa hata wangekuwepo wangekuwa na makali yeyote tena kwa mazingira haya ya kisiasa??

Nafkiri mngerudisha mazingira ya siasa za awamu ya 4 ndio tungepata clear picture kma CHADEMA imekufa ama lah
 
Hii combination ya uongozi pale Ufipa ilisaidia sana kuijenga Chadema. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja wakimshirikisha pia Prof Kitila na waliweza kukitetea kile wanachokiamini. Zama hizi kwa mbali naiona combination mpya pale Ufipa ya Lowassa - Mbowe - Lema - Msigwa ila bado nafuatilia ufanisi wake. Je mdau wewe binafsi unazitazamaje hizi timu hizi mbili. Ijumaa njema!
Yeeah, enzi hizo nikiielewa sana chadema. Sasa hivi Dj kauza chama.
 
Sasa hata hiyo operation sangara unayoongelea sahivi haziruhusiwi mpaka 2020 sasa hata wangekuwepo wangekuwa na makali yeyote tena kwa mazingira haya ya kisiasa??

Nafkiri mngerudisha mazingira ya siasa za awamu ya 4 ndio tungepata clear picture kma CHADEMA imekufa ama lah

Kazi Moja wapo ya Chama cha Upinzani ni kushinikiza Serikal kwenye Madai Yao ya kimsingi na Kikatiba

Kama mmepigwa Marufuku kufanya Siasa nanyi mkatii bila ya kuchukua hatua na mbinu mbali mbali huo ni Moja ya udhaifu wenu

Haki za kidemokrasia hupiganiwa haiji automatic Kama mawimbi ya Bahari
 
Ya lowasa na hiyo ipi imeipa shida ccm ktk uchaguzi mkuu? Hapo ndo tutajua ipi ilikuwa bora bila ya hivyo ni porojo na kujipoza machungu.
Shida gani? ya wanachama kununulika?
Hakuna kipindi rahisi kununulika kwa wanachama kama hiki.
 
Back
Top Bottom