Unaifahamu nchi inayojitambulisha kama Sealand?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,720
12,950
Katika taratibu na sheria za kimataifa inaitwa Municipality.Ni jengo moja tu lililoko juu ya nguzo baharini karibu na Uingereza.Ina mengi ya kushangaza lakini raia wake wengi wanaishi nje ya eneo husika na wanavyeo vya kifalme.Kama una hamu ya kujua zaidi kuhusu hili ingia Google utapata kila unachohitaji kujua.
 
Soma hapa waungwana
 
Back
Top Bottom