Unaichukuliaje tabia ya watu kukushangaa ukikatiza mitaani au kukuangalia sana wakati unatembea?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Unajisikiaje ukitembea mtaani watu wanaanza kukutizama sana?

Sijui baadhi ya mitaa hapa bongo ni ya ajabu sana unapita wanaanza kukushangaa.

Unakuta watu wamekaa kijiweni au unapita zako wanaanza kukusema unashangaa kijiwe kimya.

Ni mambo ya ajabu na inakera sana kuna haja ya vijiwe kupigwa marufuku? Badala ya watu kufanya kazi wanakaa kijiweni na kukaa na kuanza majungu.

Kiukweli siku hizi mimi hadi napoteza confidence kabisa najikuta hadi najikwaa

Au unapita njiani mtu anaanza kukutaxama kuanzia juu mpaka chini mpaka unajiuliza kwamba huyo mtu anakujua ama unageuka unamkuta bado anakutizama. Sipendi kupita njiani au kijiweni watu wanaanza kunishangaa na nakereka sana hadi najiuliza labda sijachomekea?sijachana nywele?sijavaa properly? sijui kwa upande wako mwana JF?
Na unafanyaje kukabiliana na hii changamoto?
 
Hahaha hiyo kitu ni mbaya sana,
unapigwa jicho flan hadi unapoteza confidence mwishoe unakuwa hutazami chini vizuri kwa kuwaza na hatimaye unajikwa.

Mimi huwa nawaonyeshea dole la kati kama ni vijana, kama niwazee nawatukana kimoyo moyo
 
Watakuangalia kwa sababu nyingi. Unaweza kuwa unapendeza sana,unavutia,ni handsome/mzuri,watu huvutiwa na kizuri.
Wengine watakuangalia,wajilinganishe je unawazidi pesa,muonekano,u handsome,uzuri,wakigundua unawazidi ,watajenga chuki tu.

Wengine watakuangalia kwa kukuonea huruma,au kukudharau jinsi unavyoonekana umechoka(kifedha).

Kumbuka mwenye fedha,hata akivaa midabwada jinsi anavyojiweka,anatoa aura,spirit yake inaongea pesa tu.

Tatizo la watu wa Dar, wanakodoa sana,MTU anaweza kukuangalia mpaka inakera, wanapenda "amusement" yaani ni watu ambao akili zao, haziwekwi bize na mambo ya msingi,wakati wote wanatafuta kitu cha kuwasaulisha magumu wanayopitia.
 
Dole la kati live kabisa?
Hahaha hiyo kitu ni mbaya sana,
unapigwa jicho flan hadi unapoteza confidence mwishoe unakuwa hutazami chini vizuri kwa kuwaza na hatimaye unajikwa.

Mimi huwa nawaonyeshea dole la kati kama ni vijana, kama niwazee nawatukana kimoyo moyo
 
Upo sahihi
Watakuangalia kwa sababu nyingi. Unaweza kuwa unapendeza sana,unavutia,ni handsome/mzuri,watu huvutiwa na kizuri.
Wengine watakuangalia,wajilinganishe je unawazidi pesa,muonekano,u handsome,uzuri,wakigundua unawazidi ,watajenga chuki tu.

Wengine watakuangalia kwa kukuonea huruma,au kukudharau jinsi unavyoonekana umechoka(kifedha).

Kumbuka mwenye fedha,hata akivaa midabwada jinsi anavyojiweka,anatoa aura,spirit yake inaongea pesa tu.

Tatizo la watu wa Dar, wanakodoa sana,MTU anaweza kukuangalia mpaka inakera, wanapenda "amusement" yaani ni watu ambao akili zao, haziwekwi bize na mambo ya msingi,wakati wote wanatafuta kitu cha kuwasaulisha magumu wanayopitia.
 
I noticed "You noticed them noticing you noticing them".
Acha kujishtukia dogo, hakuna anaejali unachokifanya unless mwenyewe utataka iwe hivyo.

NB: Maeneo mengi wezi wa mtaa huwa wananyooshewa vidole ili kila mtu awe makini nao.. i hope wewe sio mwizi, Are you?
 
Kweli boss
I noticed "You noticed them noticing you noticing them".
Acha kujishtukia dogo, hakuna anaejali unachokifanya unless mwenyewe utataka iwe hivyo.

NB: Maeneo mengi wezi wa mtaa huwa wananyooshewa vidole ili kila mtu awe makini nao.. i hope wewe sio mwizi, Are you?
 
Unajisikiaje ukitembea mtaani watu wanaanza kukutizama sana?

Sijui baadhi ya mitaa hapa bongo ni ya ajabu sana unapita wanaanza kukushangaa.

Unakuta watu wamekaa kijiweni au unapita zako wanaanza kukusema unashangaa kijiwe kimya.

Ni mambo ya ajabu na inakera sana kuna haja ya vijiwe kupigwa marufuku? Badala ya watu kufanya kazi wanakaa kijiweni na kukaa na kuanza majungu.

Kiukweli siku hizi mimi hadi napoteza confidence kabisa najikuta hadi najikwaa

Au unapita njiani mtu anaanza kukutaxama kuanzia juu mpaka chini mpaka unajiuliza kwamba huyo mtu anakujua ama unageuka unamkuta bado anakutizama. Sipendi kupita njiani au kijiweni watu wanaanza kunishangaa na nakereka sana hadi najiuliza labda sijachomekea?sijachana nywele?sijavaa properly? sijui kwa upande wako mwana JF?
Na unafanyaje kukabiliana na hii changamoto?
Kijiji cha wapi hicho ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom