Unahoji nini? Mzee Yussuf Na Uzazi Wa Mpango???

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
925


Hata kama una wake KUMI, kila Mke akizaa Mtoto Mmoja, bado utakua umefuata uzazi wa Mpango na Familia itakuwa na watu Ishirini na moja (21) kuliko kuwa na Mke mmoja harafu umzalishe watoto watano ili kufanya familia iwe na watu Saba...

UNAHOJI MZEE YUSUF KUSHIRIKI TANGAZO LA UZAZI WA MPANGO???, KAMA AMEWEZA KUPISHANISHA WATOTO KAMA ANAVYOJIGAMBA MKEWE, HATA WAKIWA NA WATOTO ISHIRINI WALIOPISHANA, KWA KATANGAZO KALE ANASTAILI KUJIGAMBA KUWA ANAFUTA UZAZI WA MPANGO!!..UKIBISHA ZAIDI WAULIZE WENYEWE WIZARA YA AFYA NA USATAWI WA JAMII WALIOANDAA LILE TANGAZO LA "KUJIAMINI"

UNAHOJI BANANA AMBAE ALIZAA KWANZA NJE YA NDOA NA BABAE NAE KUZAA WATOTO WENGI NJE YA NDOA ISIPO KUWA BANANA NA MAUNDA NDIO WA NDANI TYA NDOA??, WAMEFUATA UZAZI WA MPANGA SASA< WAMETULIA NA NDOA ZAO SASA NA WANAFUATA UZAZI WA MPANGO. HUTAKI, ULIZA WIZARA YA AFYA!!!

<font color="#0000ff"><span style="font-family: arial black"><font size="4"><font size="2">
 
Last edited by a moderator:
waandaaji wa tangazo hawakujua kuchagua mtu wa kubeba tangazo lao.

Mie mwenyewe nilikuwa nauliza sasa hizi, umeniwahi?
 
mi nauliza Mzee Yusuph ana/alishawah kuoa wake wangapi na ana idadi watoto wangapi mpaka sasa?
 
kuna vya kushare lakini sio mapenzi........ila da wametuliiiiiiia wenyewe,


oooophs sorry nimetoka nje ya mada
 
kuna picha za wanawake watatu, wote ni wakeze.

dini, kabila na mila zote zinaruhusu!!, kule musoma kwa akina wassira, japo wengi ni wasabato (dhehebu lenye masharti mazito), mila zimetangulia imani ya dini na hilo linawafanya wazawa wa mkoa wa mara kuwa na wake zaidi ya mmoja na wanawake kuoa wanawake wenzao (nyumba ntobi!!)
 
Wizara ya afya imechemka inaangalia umaarufu wa mtu badala ya kuangalia tabia ya mtu na tanganzo husika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom