Unahitaji spare kwajili ya gari yako? Usiache kupitia huu uzi

tycoonff

tycoonff

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
630
Points
1,000
tycoonff

tycoonff

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
630 1,000
Mkuu vyote hivyo vinaenda kuwekwa kwenye gari kwa wakati mmoja?
1. Shock up za mbele na nyuma za Benz 202
2. Exhaust ya Benz 202
3. Bumber la mbele Benz 202
4. Taa ya kulia complete 202 Benz
5. Inside mirror Brake light ya ndani Benz 202
 
T

T1986MCK

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
245
Points
250
T

T1986MCK

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
245 250
Mkuu hiki kioo kidogo (baby mirror) cha Harrier naweza kipata? Bei yake ni ngapi?
1560527503912-jpeg.1127469
 
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
1,285
Points
2,000
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2017
1,285 2,000
Engine na gear box ya X-trail manual shi ngapi?
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,833
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,833 2,000
Mkuu vipi,kioo cha nyuma ubavuni upande wa kulia cha ford explorer 2002,na taa yake ya pembeni mbele kulia(hiyo ya njano-lakini iwe nyeupe sababu bulb yake ni ya njano) zinapatikana kwa bei gani? kwa Arusha napataje?
the-ford-jpg.1131076
 
V

Vumilika

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
694
Points
1,000
V

Vumilika

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
694 1,000
Engine 1KZ na gear box yake ni kiasi gani?
 
Master of the game

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Messages
3,613
Points
2,000
Master of the game

Master of the game

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2016
3,613 2,000
Used complete pamoja na coil yake ni 90000 kwa moja
Shockup za mbele za Toyota raum old model ya mwaka 2001 ni Bei gani.
Me sijui kusoma chassis number ningekutumia unisaidie kunipa vifaa ambavyo ni compatible.
 
mwambojoke

mwambojoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
875
Points
500
mwambojoke

mwambojoke

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
875 500
Motor ya stering sensor suzuki swift 2006. Sterling ngumu nikaambiwa nibadilishe kifaa hicho. Nan anayo?
img_20190622_153535-jpeg.1134489
 

Forum statistics

Threads 1,324,813
Members 508,836
Posts 32,173,358
Top