Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

nahtaji exhaust na shock up ya corolla 111

pia kama unajua technique yyte ya kuinua gar iwe juu bcoz barabara nayopita ina mashimo na makorongo balaa gar inaburuzika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hellow Taa ya Mbele kushoto (Buster) na ya nyuma Kulia IST nitapata?... sh ngapi Mkuu.
 
Back
Top Bottom