Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

habari mkuu nahitaji mswaki (engine) au engine ya Toyota cami k3.. ukinipa na price naweza kuja hata leo.

Thanks.
 
Kaka nahitaji sensor ya Nissan Pathifinder Aventura C1103 FR RH Sensor - 1 naweza kupata hata kwa kesho tafadhali??
 
Busta ya clutch ya land cruiser 1hdt(vx) inapatikana kwa bei gani pamoja na master yake
 
Kaka tengeneza group alaf uweke link ili tujiunge whatsapp iwe nafuu kuuliza spare
Uundwaji group utalimit idadi ya member ni heri humu huku hata utoto hakuna ukiweka link fb yoote inahamia huko
 

Similar Discussions

29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom