Unahitaji nini ama ufanye nini ili uwe na kipindi cha Televisheni?

Harry singo

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
352
500
Asalaam Alaykhum,

Ningependa kuuliza ni matakwa gani unayopaswa kutimiza ili kuwa na kipindi cha tv ama ni hatua gani za kuchukua kuwa na kipindi kama vile Salama na cha EATV ama reality TV shows kama aliyokua anafanya chiricBenz miaka ile, yaani kipindi unakimiliki wewe.

Pia, ni gharama gani zinahitajika na mchakato wa kuwapata wadhamini?

Tushare JF kijiwe cha maarifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom