Unahitaji Mkandarasi wa Umeme? Do you need Electrical Contractor? Call Premier Electrics

Umeme Jua

Member
Dec 11, 2012
66
33
Premier Electrics ni kampuni iliyosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Makandarasi Tanzania (Contractors Registration Board) katika daraja la sita (Class Six). Kama unahitaji kufungiwa mfumo wa umeme majumbani, sehemu za biashara na viwandani usisite kupata huduma zetu. Ofisi zetu zipo Mbezi Beach, Tangibovu, mkabala na kituo cha kuppozea umeme cha Tanesco, jengo la Stanford House ghorofa ya kwanza. Unaweza kutupata kwa simu namba (+255) 0754050539, 0684353616, 0766705332 na barua pepe premier-electrics@hotmail.com. Tunakukaribisha upate huduma zetu tulijenge Taifa letu.
Ahsante.
 
Tumekupata mkuu tutakutafuta. Check PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom