Unahitaji mfanyakazi bora??atakayebadilisha na kukuvusha zaidi?

ENI

Member
Jul 16, 2017
14
3
Hey una kampuni kubwa? au je wafanyakazi wana kusumbua? wasiliana nami, ni mfanyakazi mzuri ambaye kama ukinipata mambo ya kampuni yako lazima yabadilike, ni mwaminifu, mchapakazi, mtu makini,jasiri,n.k.

Nimesomea uhasibu(degree), japo kazi zote naziweza, nimefanya kazi mahali nikapewa cheti cha appreciation na bado hawakutaka niondoke ila ilinibidi tafadhali na karibu inbox.
 
Sasa kwanini uliondoka ile hali walikutana, pia nachojua cheti sio tabia ya mtu hata ukiwa na vyeti vya nidhamu kumi havitoshi kuwa kielelezo cha tabia yako.

Ungesema unataka ajira tu, hayo ya mfanyakazi mzuri ungeyaacha kwenye makaratasi wenyewe wangeona matokeo sio ujipambe kabla ya harusi.

Kila la heri mfanyakazi mzuri

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
.kwan wewe ukiandikaga barua za kazi hua haujinadi??Wazima utoe Maelezo yakinifu bwana.
 
.kwan wewe ukiandikaga barua za kazi hua haujinadi??Wazima utoe Maelezo yakinifu bwana.
Acha kupenda sifa za kujinadi sifa huonekana sio kusimuliwa.

Kama unajiamini huna haja ya kupiga kelele za kujinadi.

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom