Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

daah mda sana asee, nilkuw nikisimuliwa story za hawa jamaa mpaka na mm nkataman cku 1 huenda nitakuwa mmoja wao..
niliishia kuisoma tu baadhi ya articles ..nakmbuka juz kat somo flani hivy lecturer wetu alkuw anafndhisha mambo ya forensic investigation..aiseeeee nlitaman hii topic isiishe mana nlkuw nko makini na ni taam ajabu unahis mbn ticha anabania kuifndisha...daah hobby bhn.kuna wanaosema hii kaz ni hatar, ila kama ww ni mzalendo wa kweli kirahis hiv huwez kusema kazi hii ni hatar kwa maisha yako. na kadri unavyoifatlia hii kaz kweny articles mbal mbal na vitab mbal mbal ndo unazd kfnguka kichwa ni jins gan unawez kukabilian na chngamoto za kidunia.....inahitaj ujue ujanja wote wa town na mambele huko kwa wenzetu...uwe fiti kweli kwel kila idara.
(sio kma wenzng namie mtu kamaliz chuo ankuw mshamba mshamba computer hajui gari hajui halaf ataka ajirajokes.... )
All in all....naona kabisa nina sifa nying za kuwa member. na ninahis kabisa ntakuwa na sifa za ziada
leo nimejikumbush elim ambay nliisoma huko nyuma miaka ya flani huko vitabuni, hapo juu baadhi ya poin alizoelzea.....

Sent using [Samsung galaxy s10]
Mpaka hapo tu kwa jinsi ulivyoandika hata kazi pale KK Security usingepata.
 
Nahitaji kuwa kwani nafikiri naweza tena napenda sana kushiiriki katika ujenzi wa taifa letu nikiwa na nafasi yangu kama msomi wa ngazi wa uzamivu na ninayetembelea mataifa mbalimbali. Najihusisha na sayansi ya asili na huku kwa kweli kunahitaji usalama na uzalendo sana kwani watanzania wengi ikiwa ni pamoja na viongozi wa taifa hudanganywa na watu wasio wazalendo kuhusu mambo ya maslahi ya taifa. Tafadhali nijulishe nifanye nini niweze kutoa mchango wangu kupitia usalama wa taifa.
Nakushauri kwa elimu na exposure yako nakushauri tafuta bonde zuri lenye rutuba apply all your capabilities tafuta vijana then jaribu kugusa maisha ya JAMII
Nahisi huo ndio uana usalama nzuri jarb kutransform life la JAMII inayo kuzungukaa
 
Wewe kaka khaah.
 
Kuna mengi magumu kuliko haya tunayoyaona kwa jeshi la usalama wa Taifa, kwahiyo mm nadhan ukibahatika ukachaguliwa kalitumikie taifa kwa moyo wako, ila usikae kusubiri na kuitafuta hiyo nafasi utazeeka hujaipata.
 
Napenda stori na simulizi za Kijasusi Kama kuna kundi la Whatsapp naomba uniunge!
 
Nakushauri kwa elimu na exposure yako nakushauri tafuta bonde zuri lenye rutuba apply all your capabilities tafuta vijana then jaribu kugusa maisha ya JAMII
Nahisi huo ndio uana usalama nzuri jarb kutransform life la JAMII inayo kuzungukaa
Na ndiyo maana nzima ya ELIMU.
 
Back
Top Bottom