Habari wana janvi nimeamua kujiajiri na kuanzisha garage katika kujikwamua kiuchumi kama kijana baada ya kufanya kazi ya kuajiriwa na kampuni ya scania kwa muda mrefu,nimeajiri pia vijana wenzangu kutoka makampuni mbalimbali hasa ya kichina ambayo yanawanyonya sana watanzania wanaofanya kazi kubwa kwa malipo kidogo.Garage yetu inafanya kazi zifuatazo.
Karibu tukuhudumie garage ipo Mbezi beach karibu na interchick tupigie kwa namba 0713417107 ulizia Limbe.
1.General car services hizi ni door to door hata kama uko nyumbani kwako tutatuma mafundi wetu kufanya service ya gari lako hapohapo huhitaji kuja garage,pia unaweza kuja garage.
2.Kunyoosha magari yaliyopata ajali
3.Kupaka rangi magari ya muda mrefu ambayo rangi zimechakaa
4.Kutengeneza mabodi ya magari ya mizigo,kama una trailer inayobeba container na unataka uibadilishe tunafanya kazi hiyo kwa garama nafuu sana na kwa ubora wa hali ya juu
5.Tunauza spare mbalimbali za magari mpya na used.