Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 248
- 734
Habari,
Natafuta biashara zinazohitaji kukua iwe katika kutoa huduma au kuuza bidhaa.
Wasifu wangu;
-Brand strategy
Lengo:
Kutoa ujuzi na elimu niliyonayo kuendeleza biashara kufikia watu wengi. Ni kitu ninachopenda kufanya.
Kama unahitaji huduma, ushauri au/na biashara yako ikuwe basi usisite kuwasiliana nami.

- Uzoefu wa miaka 5 katika usimamizi na kuweka mikakati ya ukuaji biashara "Strategies for business growth"
- Kukuza mitaji ya biashara
- Kupata masoko mapya