Unahisi umebambikiwa mtoto?........... Mtazame usoni!

kuna mtu niliwahi kutana naye cmfahamu akaniuliza, we mtoto wa Y(jina la dingi) nikakubali. Nilivyomuuliza amenitambuaje,akanambia yaani ulivyotabasamu na kucheka nikajua hii chata ya mzee y. Yawezekana kuna kaukweli hapa
 
Back
Top Bottom