Unahisi Trump alikuwa anang'ang'ania nini Ikulu?

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Rais mteule Donald Trump amesema hatapokea mshahara wa rais wa $400,000 (£319,500) kila mwaka


Hii ilikuwa 16 Novemba 2016 baada ya kushinda uchaguzi

Rais mteule Donald Trump amesema hatapokea mshahara wa rais wa $400,000 (£319,500) kila mwaka

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema hataki kulipwa mshahara wa rais wa $400,000 atakapochukua hatamu Januari mwakani. Badala yake atakuwa akilipwa $1 pekee kila mwaka.

Alifichua mpango wake huo wakati wa mahojiano na Lesley Stahl kipindi cha 60 Minutes cha CBS News.

Ingawa hakujua rais huwa analipwa pesa ngapi, Bw Trump alisema alidhani anahitaji kuchukua tu $1.

Baada ya Bi Stahl kumjulisha kwamba mshahara wa rais ni $400,000, alisema: "Hapana, sitaupokea mshahara huo. Sizichukui kamwe."
 
Ndio mambo yameharibika sasa:D
Yule ni mzungu lakini ana akili za kama.za viongozi wa kiafrika!!sasa.alitaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu walio starabika!!ndio ameambulia aibu hiyo, ila kama anagekuta watu wenye akili za kiafrika ki ukweli lisingekubali kuachia madaraka ki rahisi rahisi!!na baada ya kukabidhi madaraka ataandamwa na mikasa mingi sana!!kwani hata waliokuwa karibu naye kwa ujinga huo wa juzi wamemkimbia!!ndio tabu ya kuwapa watu madaraka makubwa hivyo, wakiwa wametoka sehemu zisizoeleweka, ki siasa!!ni kama tabu wanayopata watu wa jamuhuri ya porto rico sasa!!!MI TANO TENA!!!,
 
Bi. Hillery aliwahi kuonya lakini;
"Ni Hatari kubwa kumpa madaraka Mtu huyu".
 
Jamaa ni mkichaa kabisa.
Wachekeeni tu vichaa kwa kuwasifu na kuwaabudu. Mwisho wake mtauona. Kumbuka capitol imenajisiwa. Watu wanakiuka katiba wanaangaliwa tu mwisho wa kukiukwa katiba ndio huu mnauona sasa. Na huko Ni Marekani sijataja ubantuni.
 
Hii hali inamnyemelea yule mshamba wetu wa nanihii..tabu ya viongozi vichaa unaanza kugeukwa na waliokuzunguuka
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom