Unahisi mgao wa mafuta ni suluhisho la folen dar es salaam!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unahisi mgao wa mafuta ni suluhisho la folen dar es salaam!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 9, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Yaani nilihisi naongozwa na kingora leo jamani loh tangu naaga nyumbani
  kufika kazini ni dk 8 kama nimetoka upanga to posta hata kidogo embu tuliangalie hili swala la mgao wa mafuta mnaonaje mnahisi ni soln ya folen dar es salaam..na je ni kwamba barabara kuwa wazi gari kutembea bila kukaa foolen jana na leo
  mnahisi inaweza kutusaidia wale wabinfsi wasiopenda kupeana liift sasa wakaona umuhimu wa kutumia gari moja

  mi ninachoomba as long nchi imeuzwa hawa watu wa engen wateu baadhi ya vituo tuwe tunapata mgao kuliko kutokuwa na mafuta kabisa na hili swala la aipo diesel tu life kama vipi wafunge kabisa tukjue akuna mafuta najiuliza kamaa watu wamekaa miezi kadhaa bila umeme na wamekaa kimya kwa nini tusizoee huu mgao wa mafuta kilichofanyika ni kuwtupindua tu upande wa pili baada ya kutuona watanzania tumekaa kimya na tunapoelekea wataenda voda tigo airtel kutumaliza na internet kabisa turudi kwenye mafaili

  mungu ibariki tanzania
   
Loading...