Unahisi kwanini Watanzania wengi hawamkubali Rais Magufuli?

Wengi tunamkubali na tunaomba awe Rais wa maisha kama sisi ,hapa mtaani kwetu mtu akifanya jambo zuri watu wanasema umefanya kama Magufuli

Huko kwenu vipi?

State agent
Huku kwetu hakuna hiyo kitu huku kwetu hakuna kwakuwa tunajielewa na hatulewi sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom