Elections 2015 Unadhani kwanini Reginad Mengi kazomewa pale alivokuwa akipewa cheti Magufuli?

Nimeipata Sehem Kuwa Mengi Kazomewa Kwa Upendeleo Katika Habari,
Kuna Mtoa Habari Mmoja Kazomewa Kutokana Na Ubaguz Wake Katika Kulipot, Sasa Alivojitokeza Mengi Kazomewa Zaidi, Unahsi Ni Kweli?

Nyie ndo aina ya watu Magufuli alisema atasafisha ndani ya ccm, mtizame kwanza
 
attachment.php

VIDEO YAKE SIJAIPATA
Ilibidi apewe lifti kumuokoa na aibu au vipi naona kapanda gari ya membe
 
Nimeipata Sehem Kuwa Mengi Kazomewa Kwa Upendeleo Katika Habari,
Kuna Mtoa Habari Mmoja Kazomewa Kutokana Na Ubaguz Wake Katika Kulipot, Sasa Alivojitokeza Mengi Kazomewa Zaidi, Unahsi Ni Kweli?
Hizi thread za kihochezi zinapewaje uhai jamvini.
 
sio heshima halafu hao wazomeaji milofa tu wana mzomea tajiri mwenye pesa zake hayo madera ya bure na vi elfu kumi na viroba vya bure vina watoa utu taifa limejigawa sana kwa sasa natamani nyerere afufuke atuunganishe tena hakuna uzalendo tena ni u dictator mwanzo mwisho
 
Leo unalalamikia zomea zomea.ccm walikua wanazomewa kongo,magufuli kazomewa ubungo na mbeya mlishangilia sana na tuliwaonya hamkusikia
 
Alikwenda fanya nn Maan kila mtu anajua yy alikuwa yupo upande WA kaskazini mtu lazima usome nyakati
 
Mtoa uzi anasema Rregnad Mengi Mwenyekiti wa makampuni ya IPP amezomewa. Hii ni hoja ya kwanza. Pili anauliza swali, ikiwa ni kweli kazomewa, unadhani ni kwa nini.
Jibu linapaswa kukubaliana au kukataa kama hakuzomewa. Kama unakubaliana toa maelezo ni sababu zipi zilizosababisha azomewe. Sababu kutokuwa mkatoliki haiwezi kuwa ya kweli kwani kulikuwa watu wangapi wasiokuwa wakatoliki ambao hawakuzomewa. Kama walikuwepo wasiowakatoliki wengi na hawakuzomewa, basi uluteli wake haipaswa kuwa sababu iliyosababisha azomewe. Kuna nyingine: ni ipi hiyo? Kama hujui sababu tafuta au kaa kimya subiri wenye upeo waseme nawe utajifunza kwao. Si kila mtu anaweza kuwa mwalimu, wengine ni wanafunzi.Hakuna mtu anayejua kila kitu, lakini angalau kila mtu kuna kitu anakijua. Kama wewe hujui sababu ya kuzomewa kwa Mengi siyo ajabu ni kawaida tu ila kunaweza kuwa kuna jambo unalijua pengine la muhimu zaidi kuliko kuzomewa kwa Mengi, muhimu ni kukiri kuwa hujui na kunyamaza ili utoe nafasi kwa ubongo wako kupokea maarifa mapya kutoka kwa wanaojua
Mengi sio mkatoliki lazima azomewe
 
kwenye sekta wapi ww hebu nenda kaendeshe bodaboda kule.
Unajeuri ya kuendesha sekta ww

keyboard inakulinda tu....embu tuambie ww ni sekta gani unaiendesha maan a waweza kuta afadhali hata ya uyu anaeendesha bodaboda
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom