Elections 2015 Unadhani kwanini Reginad Mengi kazomewa pale alivokuwa akipewa cheti Magufuli?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,634
29,997
Nimeipata Sehem Kuwa Mengi Kazomewa Kwa Upendeleo Katika Habari,
Kuna Mtoa Habari Mmoja Kazomewa Kutokana Na Ubaguz Wake Katika Kulipot, Sasa Alivojitokeza Mengi Kazomewa Zaidi, Unahsi Ni Kweli?
 
"Umeipata.sehemu" kisha unaileta bila kuthibitisha? Unajidhalilisha tu.
 
Nimeipata Sehem Kuwa Mengi Kazomewa Kwa Upendeleo Katika Habari,
Kuna Mtoa Habari Mmoja Kazomewa Kutokana Na Ubaguz Wake Katika Kulipot, Sasa Alivojitokeza Mengi Kazomewa Zaidi, Unahsi Ni Kweli?
Fitinishi wewe, angezomewa diallo
 
Kwa sababu mafisiemu hayapendi kukosolewa. Yanapenda habari za kuwasifia na kuwa pamba. IPP media wanatangaza habari za ukweli. Mafisiemu hayapendi ukweli.
 
Ni kweli kazomewa kama alivyozomewa Magufuli pale ubungo.
Yote kwa yote Magufuli ndiye rais wetu sasa.
 
Acha ushabiki usiokuwa na faidaa mkuu! Mwenzio anaingiza pesaa wew je?
 
Maccm mna manbo ya kijinga sana, hamna la kuwafanyia wananchi zaidi ya mipasho na mambo ya kipashkuna kukenuakenua hovyo
 
attachment.php

VIDEO YAKE SIJAIPATA
 

Attachments

  • mengi.jpg
    mengi.jpg
    41.9 KB · Views: 1,490
Una matatizo. vyombo vyake ndo vya pekee vilijitahid kuwa neutral .
Kwa nini azomewe?
Wabongo bwana ndo maana....
 
kwa sababu mafisiemu hayapendi kukosolewa. Yanapenda habari za kuwasifia na kuwa pamba. Ipp media wanatangaza habari za ukweli. Mafisiemu hayapendi ukweli.

waandishi hawana weledi ndio maana walikuwa wanapendelea chama cha kz
 
Back
Top Bottom