unahisi kwanini reginad mengi kazomewa pale alivokuwa akipewa cheti magufuli? weken video jaman, | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unahisi kwanini reginad mengi kazomewa pale alivokuwa akipewa cheti magufuli? weken video jaman,

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by britanicca, Oct 30, 2015.

 1. britanicca

  britanicca JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2015
  Joined: May 20, 2015
  Messages: 4,689
  Likes Received: 5,918
  Trophy Points: 280
  Nimeipata Sehem Kuwa Mengi Kazomewa Kwa Upendeleo Katika Habari,
  Kuna Mtoa Habari Mmoja Kazomewa Kutokana Na Ubaguz Wake Katika Kulipot, Sasa Alivojitokeza Mengi Kazomewa Zaidi, Unahsi Ni Kweli?
   
 2. pumzihaiuzwi

  pumzihaiuzwi JF-Expert Member

  #41
  Oct 30, 2015
  Joined: Mar 27, 2015
  Messages: 2,552
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  ulimuonya nani acha kupanic uo ni ushabiki maandaz unaonekana bado mdogo sana kifikra hujui kujenga hoja unakurupuka tu mahaba yako peleka kwa misukule wenzio
   
 3. Paul Alex

  Paul Alex JF-Expert Member

  #42
  Oct 30, 2015
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2,875
  Likes Received: 4,188
  Trophy Points: 280
  0759 84 16 85
  I save you the trouble,just make a call, and dnt forget if you can look for me,I can look for you.If you can kill me,there is a possibility of me killing you,so you are welcome,absolutely welcomed
   
 4. BOMBAY

  BOMBAY JF-Expert Member

  #43
  Oct 30, 2015
  Joined: Apr 16, 2014
  Messages: 3,965
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280
  we kenge pori bado hujaandamana tu?
   
 5. Paul Alex

  Paul Alex JF-Expert Member

  #44
  Oct 30, 2015
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2,875
  Likes Received: 4,188
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijui uelekeo,nasubiri tu Lowassa aseme jambo!
   
 6. BOMBAY

  BOMBAY JF-Expert Member

  #45
  Oct 30, 2015
  Joined: Apr 16, 2014
  Messages: 3,965
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280
  Lowasa hatokuambia uandamane ila atakuambia umuue mkeo na watoto wako waliomchagua magufuli awe raisi wao,je upo tayari kwa hilo?
   
 7. s

  shemegiwifi Member

  #46
  Oct 30, 2015
  Joined: Aug 15, 2015
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sababu ya kushindwa ktk uchaguzi huu ni ukawa hawkujipanga kwa kiti cha urais ndio haya yalio tokea wameazima mgombea
   
 8. Paul Alex

  Paul Alex JF-Expert Member

  #47
  Oct 30, 2015
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2,875
  Likes Received: 4,188
  Trophy Points: 280
  Watoto wangu hawazuii Lowasa kuingia Ikulu,mke wangu yuko China,hazuii Lowasa kuingia Ikulu,ila kuna watu wanazuia.I mean we need a plan,a strategy na hiyo iletwe na uongozi wa juu.Mimi uhai wangu nilishauweka rehani kwaajili ya mabadiliko.
   
 9. Paul Alex

  Paul Alex JF-Expert Member

  #48
  Oct 30, 2015
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2,875
  Likes Received: 4,188
  Trophy Points: 280
  Ila Lowasa na Mbowe wanataka kuniua kwa presha,haki ya Mungu,Mbowe kama unanisikia unafanya mimi nadhalilika,nafsi yangu ina dhalilika.Ulisema hela,tukachanga,ukasema kampeni,tukafanya,ukasema kura,tukapiga,acha ungese Mbowe,sema unataka tufanyeje?
   
 10. Allen Kilewella

  Allen Kilewella Verified User

  #49
  Oct 30, 2015
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 8,177
  Likes Received: 11,805
  Trophy Points: 280
  Si wengezomewa TBC au Star tv!?
   
 11. Crimea

  Crimea JF-Expert Member

  #50
  Oct 30, 2015
  Joined: Mar 25, 2014
  Messages: 4,815
  Likes Received: 3,516
  Trophy Points: 280
  We jamaa ni mpuuzi sana! Sasa unataka Mbowe atoe agizo gani? Akwambie andamaneni? Yeye keshasema hawakubaliani na matokeo,,maanaake hapo jiongeze mwenyewe, kama kuingia mtaani ingia,

  Sasa unajitekenya tu hapa mtandaoni!!
   
 12. Paul Alex

  Paul Alex JF-Expert Member

  #51
  Oct 30, 2015
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2,875
  Likes Received: 4,188
  Trophy Points: 280
  Huwezi cheza mwenyewe bila kujua team inachezaje,Ntakachokifanya hakina uhakika wa kutupeleka ikulu
   
 13. Haemoglobin

  Haemoglobin JF-Expert Member

  #52
  Oct 30, 2015
  Joined: Jun 15, 2013
  Messages: 281
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Ni mfanyabiashara top 5 Tanzania, ana mchango mkubwa sana kwa Taifa. Kodi serikaln ajira kwa maelfu ya watanzania, Mkuu fikiria kwanza kabla ya kuanza kutumia keyboard yako.
   
 14. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #53
  Oct 30, 2015
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Watu wamemzomea alipoenda kwenye shughuli ya kumkabidhi magufuli cheti.. . Hapo ni Membe anamuokoa kumuingiza kwenye gari yake.. Mzee kazidi anageuza itv ni tawi la ukawa.
   
 15. Doto Dotto

  Doto Dotto JF-Expert Member

  #54
  Oct 30, 2015
  Joined: Aug 3, 2015
  Messages: 2,442
  Likes Received: 812
  Trophy Points: 280
  Vyombo vyake vya habari, na baadhi ya watangazaji wake waliegemea sana upande wa lowasa. sasa lowasa kapigwa chini aibu imemshika mbaya! so watu wakampa makavu yake live
   
 16. jd41

  jd41 JF-Expert Member

  #55
  Oct 30, 2015
  Joined: Aug 23, 2015
  Messages: 2,608
  Likes Received: 1,314
  Trophy Points: 280
  ...ushabiki wa kitoto umejaa sana huku jf..!!
   
 17. Paul Alex

  Paul Alex JF-Expert Member

  #56
  Oct 30, 2015
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2,875
  Likes Received: 4,188
  Trophy Points: 280
  Ombeni Mungu,busara ya Lowassa iendelee!
   
 18. rofejo

  rofejo JF-Expert Member

  #57
  Oct 30, 2015
  Joined: Sep 1, 2015
  Messages: 516
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Duh! kweli humu kuna vilaza wengi! vp star ccm na tbccm! endeleeni na ujuha!
   
 19. N

  Ngoshanyi JF-Expert Member

  #58
  Oct 30, 2015
  Joined: Jun 14, 2013
  Messages: 2,417
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Bado hata tv yake ya Itv saa mbili hii imeonyesha mahudhurio ya shule ya watoto wa Mtwara ni hafifu na kibwagizo chake ni watu wa Mtwara wakiandamana kushangilia ushindi wa Rais Magufuli. Mbona hawatuonyeshi Monduli baba na mtoto dudu nje kama mnyama huku wakichunga mbuzi? Ole wenu na dharau hii wakaskazini kuna siku itawatokea puani
   
 20. alberaps

  alberaps JF-Expert Member

  #59
  Oct 30, 2015
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  This funny. Absolutely funny. Anatishia kujamba wakati ana tumbo la kuharisha
   
 21. N

  Ngoshanyi JF-Expert Member

  #60
  Oct 30, 2015
  Joined: Jun 14, 2013
  Messages: 2,417
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  na hela ziko wapi unajua? Hahaaaaa kwiiiiiiikwiiiiiiiii wajinga ndio waliwao
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...