unahisi kwanini reginad mengi kazomewa pale alivokuwa akipewa cheti magufuli? weken video jaman,


pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Messages
2,560
Likes
1,944
Points
280

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2015
2,560 1,944 280
sio heshima halafu hao wazomeaji milofa tu wana mzomea tajiri mwenye pesa zake hayo madera ya bure na vi elfu kumi na viroba vya bure vina watoa utu taifa limejigawa sana kwa sasa natamani nyerere afufuke atuunganishe tena hakuna uzalendo tena ni u dictator mwanzo mwisho
 

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
18,453
Likes
10,871
Points
280

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
18,453 10,871 280
sio heshima halafu hao wazomeaji milofa tu wana mzomea tajiri mwenye pesa zake hayo madera ya bure na vi elfu kumi na viroba vya bure vina watoa utu taifa limejigawa sana kwa sasa natamani nyerere afufuke atuunganishe tena hakuna uzalendo tena ni u dictator mwanzo mwisho
Leo unalalamikia zomea zomea.ccm walikua wanazomewa kongo,magufuli kazomewa ubungo na mbeya mlishangilia sana na tuliwaonya hamkusikia
 

bantulile

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
1,493
Likes
111
Points
160

bantulile

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
1,493 111 160
Mtoa uzi anasema Rregnad Mengi Mwenyekiti wa makampuni ya IPP amezomewa. Hii ni hoja ya kwanza. Pili anauliza swali, ikiwa ni kweli kazomewa, unadhani ni kwa nini.
Jibu linapaswa kukubaliana au kukataa kama hakuzomewa. Kama unakubaliana toa maelezo ni sababu zipi zilizosababisha azomewe. Sababu kutokuwa mkatoliki haiwezi kuwa ya kweli kwani kulikuwa watu wangapi wasiokuwa wakatoliki ambao hawakuzomewa. Kama walikuwepo wasiowakatoliki wengi na hawakuzomewa, basi uluteli wake haipaswa kuwa sababu iliyosababisha azomewe. Kuna nyingine: ni ipi hiyo? Kama hujui sababu tafuta au kaa kimya subiri wenye upeo waseme nawe utajifunza kwao. Si kila mtu anaweza kuwa mwalimu, wengine ni wanafunzi.Hakuna mtu anayejua kila kitu, lakini angalau kila mtu kuna kitu anakijua. Kama wewe hujui sababu ya kuzomewa kwa Mengi siyo ajabu ni kawaida tu ila kunaweza kuwa kuna jambo unalijua pengine la muhimu zaidi kuliko kuzomewa kwa Mengi, muhimu ni kukiri kuwa hujui na kunyamaza ili utoe nafasi kwa ubongo wako kupokea maarifa mapya kutoka kwa wanaojua
Mengi sio mkatoliki lazima azomewe
 

Forum statistics

Threads 1,203,716
Members 456,939
Posts 28,126,220