Unahic sabab ya bod ya mikopo kuchelewa kutoa majina kwa mwka wa masomo 2012/13 ni ip? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unahic sabab ya bod ya mikopo kuchelewa kutoa majina kwa mwka wa masomo 2012/13 ni ip?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Erny, Sep 14, 2012.

 1. E

  Erny New Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sababu ya tume ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kuchelewesha kutoa majina ya waliopata na kukosa mkopo kwa mwka wa masomo 2012/13 na vyuo ndo vinaanza kufungua
   
 2. w

  walter mmbando New Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Walioomba loan kwa mwaka huu ni wengi..Xo me naona kama vile wameshindwa kuwachambua wa2 wa kuwapa na kuwanyima
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,879
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Ukumbuke mwaka huu walioapply vyuo ni wachache kuliko miaka mingine.
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tcu ndo wakulaumiwa kuchelewesha majina kwenda heslb
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hakuna alie fika Tildo Complex Kimweli atupe taarifa
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Sifahamu sababu ni nini. Ila naamini muda wowote watatangaza.
   
 7. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwen wavumiliv wa jf kaz sio ndogo kama unavyofikiria 7bu nying tu ikiwemo tcu wenyewe dedline ya applcn mpaka tar 17 sept na wale ma diploma NTA level 6 NA NON NTA level 6 bado awajawa approved na nacte then yapelekwe hslb ndo watoe kwa jumla wote.
   
 8. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wemtoa mada unahitaj hisia za wa2 iliiwaje?ulizia mwenye taarifa kamil lkn co hisia.
   
 9. E

  Esir Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hawa HESLB washenzi tu kama wanahakika ya lini watatoa majina wangetupatia date, hata wangesema kua mwaka huu majina yatatoka decemba watu tunge elewa na tungesepa vyuoni kwa semista moja wakati tukisubili mahela.
   
Loading...