Unafuu bei ya mafuta kielelezo cha udhibiti

diana chumbikino

JF-Expert Member
May 29, 2018
428
368
1549602636677.png

NI neema kwa watumiaji wa mafuta! Hivyo ndivyo mtu anavyoweza kueleza kutokana na kushuka kwa bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mara ya pili mfululizo tangu kuanza kwa mwaka 2019.

Januari, mwaka huu, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), ilitangaza kushuka kwa bei za mafuta na juzi ikatangaza kushuka tena hatua ambayo inawapa nafuu watumiaji wa bidhaa hizo kwa ajili ya vyombo vya moto na mitambo mbalimbali ya uzalishaji. Akitangaza mabadiliko hayo ya bei Jumanne wiki hii, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Nzinyangwa Mchany, bei za jumla na rejareja za mafuta zimeshuka kulinganisha na mwezi uliopita.

“Kwa kiasi kikubwa, kupungua kwa bei za mafuta katika soko la ndani kunatokana na kuendelea kushuka kwa bei za mafuta hayo katika soko la dunia,” alisema Mchany. Kutokana na hali hiyo, kwa mafuta yaliyoingizwa kupitia bandari ya Dar es Salaam, alisema bei za rejareja kwa petroli zimeshuka kwa Sh. 175 kwa lita sawa na asilimia 7.61, dizeli kwa Sh. 144 (asilimia 6.48) na Sh. 156 (asilimia 7.08).

Aidha, kulinganisha na bei za Januari, mwaka huu, bei za jumla kwa lita zimepungua kwa Sh. 174.03 (asilimia 8.02) kwa petroli na Sh. 143.65 (asilimia 6.84) kwa dizeli wakati mafuta ya taa yameshuka kwa Sh. 155.32 sawa na asilimia 7.47. Hatua hiyo pia inawapa unafuu watumiaji wa mafuta hususan wale wa vyombo vya moto kama vile magari, bajaji na pikipiki kwani kabla ya kushuka tangu kuanza kwa mwaka huu, hali haikuwa nzuri kwani walishuhudia miezi kadhaa ya mwisho wa mwaka bei ya bidhaa hizo ikipanda .

Kwa sasa, mwananchi aliyeko Dar es Salaam anayetumia chombo cha moto, anapata lita moja ya mafuta kwa Sh. 2,120 huku yule wa dizeli akinunua kiasi hicho kwa Sh. 2,080. Hata hivyo kwa wale wa mikoa ya kaskazini ikiwamo Arusha, bei iko juu kidogo kwani lita moja ya petroli inauzwa kwa Sh. 2,255 na dizeli Sh. 2,299 kwa jiji la Arusha Longodo inauzwa kwa Sh. 2,266 kwa petroli na Sh. 2,310 kwa dizeli. Bei hizo kwa mikoa hiyo ya kaskazini, ni kama zilivyokuwa mwezi uliopita kutokana na kiwango kidogo cha mafuta yaliyopokewa katika bandari ya Tanga na hayatoshelezi mahitaji ya bidhaa hiyo kwa mikoa yote ya kanda hiyo.

PICHA JANUARI

Hali ya kupungua kwa bei, ilianza januari baada ya mamlaka hiyo kutangaza kuwa bei imekuwa nafuu kulinganisha na ilivyokuwa Desemba, mwaka jana wakati wa kufunga mwaka. Katika mwezi huo, bei za rejereja zilizotangazwa wakati wa kuanza kwa mwaka na kuanza kutumika Januari 2, mwaka huu, mafuta yalishuka kwa lita kwa wastani wa Sh. 114 (asilimia 5.80) kwa petroli na dizeli Sh. 212 sawa na asilimia 8.69 kwa yale yaliyopokewa kupitia bandari ya Dar es Salaam. Mafuta ya taa yalishuka kwa Sh. 167 kwa lita (asilimia 7.03). Kwa upande wa bei za jumla, petroli kwa lita iliuzwa kwa Sh. 140.81 (asilimia 6.09), dizeli Sh. 211.12 (asilimia 9.14) na mafuta ya taa Sh. 166.02 sawa na asilimia 7.40.

Mafuta yaliyopokewa kupitia bandari ya Tanga, bei ya rejareja ilikuwa Sh. 237 (asilimia 9.73), dizeli Sh. 138 (asilimia 5.80) na mafuta ya taa Sh. 4.0 (asilimia 0.19). Bei ya jumla ilikuwa Sh. 236.31 kwa lita (asilimia 10.23), dizeli Sh. 137.56 (asilimia 6.10) na mafuta ya taa Sh. 4.17 sawa na asilimia 0.20.

Kupanda na kushuka pamoja na mabadiliko ya bei za mafuta nchini kulingana na sehemu husika kunatokana na kupungua au kupanda kwa bei katika soko la dunia, uimara ya Shilingi ya Kitanzania kulinganisha na Dola ya Marekani ambayo hutumika soko la mafuta.

Aidha ndani ya nchi, bei hizo hutofautiana kulingana na umbali kutoka katika bandari ambazo hutumika kupokea mafuta hayo ambazo ni Dar es Salaam, Tanga na Mtwara. Kutokana na hali hiyo, bei kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Kigoma ni lazima zitofautiane kulingana na umbali.

Kwa maneno mengine, bei ya mafuta katika mji mdogo wa Dumila mkoani Morogoro, itakuwa ndogo kulinganisha na Manyovu mkoani Kigoma kwa sababu ya umbali kutoka Dar es Salaam ambako mafuta hupokewa kabla ya kusambazwa huko. Pia kutokana na umbali kutoka bandarini hadi kwenye soko, Ewura imekuwa ikidhibiti wajanja kutokujipangia bei wanayotaka, hivyo kuwaumiza wananchi. Matokeo ya udhibiti huo ni bei kuwa kama inavyoelekezwa wakati wa ukokotoaji unaofanywa na mdhibiti.

Hata pale bidhaa mojawapo ya mafuta inapokuwa adimu au kutopokewa kwa wakati katika bandari, Ewura imekuwa ikitoa ufafanuzi na kuweka bayana hali halisi ya bei katika soko. Mfano halisi ni hivi karibuni baada ya mafuta ya taa kuadimika katika mikoa ya kusini. Kutokana na kuadimika kwa bidhaa hiyo ewura iliweka bayana jambo hilo.

“Kwa kuwa hakuna mafuta ya taa yaliyotolewa katika bandari ya Mtwara, wamiliki wa vituo vya mafuta katika mikoa tajwa (kusini), wanashauriwa kununua mafuta kutoka Dar es Salaam, hivyo bei za rejareja za mafuta ya taa kwa mikoa hiyo zitatokana na gharama za mafuta hayo kutokea Dar es Salaam na kusafirishwa hadi mikoa husika,” ilisema Ewura katika taarifa yake juu ya bei mpya za Februari, mwaka huu.

Si hivyo tu bali pia mamlaka iliweka bayana hali halisi ya bei mpya za mafuta katika mikoa ya kusini ambazo zilikokotolewa kulingana na gharama za mafuta yaliyopokewa kupitia bandari ya Dar es Salaam na kusafirishwa hadi mikoa hiyo. Hali hiyo pia imeonekana kwa bei za mafuta kwa mikoa ya Kaskazini ikiwamo Arusha kwa sababu ya kutokuingizwa bidhaa mpya kupitia bandari ya Tanga ambayo imekuwa ikitumika na kusambazwa katika mikoa hiyo. “Kwa mikoa ya kaskazini, bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitaendelea kama zile zile za Januari, 2019.

Hii inatokana na ukweli kwamba pamoja ya kuwa kuna shehena ya mafuta iliyopokewa nchini Januari, 2019 kupitia bandari ya Tanga, mafuta hayo ni kidogo na hayatoshelezi mahitaji kwa mikoa ya kaskazini,” alisema Mchany katika taarifa yake. Hatua ya Ewura kutangaza bei za mafuta kila mwezi kumesaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti mianya ya wafanyabiashara wasio waaminifu kupandisha mafuta na pia kufanya udanganyifu wa bei tofauti na hali halisi katika soko la dunia.
 
View attachment 1016356

Bado ghali sana
 
Ila yatapanda sana kiasi cha watu kuingia barabarani kutokana na hali ya uchumi.
Kushuka kwa bei hiyo tunaita "launch pad" yaani ikipanda tena ni vilio kila sehemu.
Hiyo ni danganya toto, hakuna sababu ya kushusha bei ya mafuta wakati ili kulipa deni la taifa trl.61, tunategemea sana kodi kwenye hayo mafuta.
Mark my words, kama una pesa nunua stocks ya mafuta ya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujawahinjuwa na uamuzi kuhusu bei ya mafuta na wala shilingi haijawahi kuimarika dhidi ya sarafubya dola
Bei ya mafuta hutokana na bei ya soko la dunia na kodi zetu tunazoimpose kwenye mafuta.
Pia inategemea stock iliponunuliwa ilikuwa bei gani
Hata kamabei imepanda kwenye soko la dunia lakini tuwe tulinunua stock ya mwisho kwenye bei nafuu ni wazi bei ua EWURA itashuka.. ni hayo tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom