Unafungwa mechi mbili unashinda moja unaingia robo final loh!!mashindano yamevamiwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,867
21,944
Loh
assume ujamvua hata bibie ushamwaga mbili alafu wakati unaitafuta ya tatu mwenzio anaitafuta moja
na wakati umemaliza cha tatu mwenzio anataka cha pili we uko hoi unaitaji kuendelea na mashindanokweli??
Najiuliza je hii timu yetu ya kilimanjaro ilistahili kuwepo mashindanoni kweli ama ndio ile
mwenyeji afike loh shame tenga shame cecafa
 
Moja haujuhi lolote kuhusu mpira mbili inaonekana we ni muhuni tu mifano yako yakiibilisi...tafuta muda ufuatilie why wameingia
 
sa si umelekeze wameingiaje robo fainali kama ni wingi wa magoli au points nk.
mm sio mtaalamu sijafuatilia hizo mechi sina runinga wala kisomoro cha kusikiza
 
Utaratibu umefuatwa lugha nzuri ni TUNDU YA SINDANO na CHUPUCHUPU.
Au Pdidy ulikuwa unashangilia zile jezi za njano?
 
ndiyo mashindano yalivyopangwa hakuna aliyebebwa! Stars watumie nafasi kurekebisha makosa.
 
Loh
assume ujamvua hata bibie ushamwaga mbili alafu wakati unaitafuta ya tatu mwenzio anaitafuta moja
na wakati umemaliza cha tatu mwenzio anataka cha pili we uko hoi unaitaji kuendelea na mashindanokweli??
Najiuliza je hii timu yetu ya kilimanjaro ilistahili kuwepo mashindanoni kweli ama ndio ile
mwenyeji afike loh shame tenga shame cecafa

Kaa kimya kama hujui mambo ya mpira, nakushauri nenda jukwaa lako la MMU linakufaa zaidi
 
The kilimanjaro starz wamepita kwa mshindwa bora wa pili. Lile goli moja walilofunga ndilo limewabeba vinginevyo ilikuwa kwa heri kambarage!
 
Loh
assume ujamvua hata bibie ushamwaga mbili alafu wakati unaitafuta ya tatu mwenzio anaitafuta moja
na wakati umemaliza cha tatu mwenzio anataka cha pili we uko hoi unaitaji kuendelea na mashindanokweli??
Najiuliza je hii timu yetu ya kilimanjaro ilistahili kuwepo mashindanoni kweli ama ndio ile
mwenyeji afike loh shame tenga shame cecafa
Mapenzi na Mpira wapi na wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom