unafki

kobonde

Senior Member
Jan 6, 2010
154
19
Hivi inakuwaje mtu anamchomeka maneno[kuniongelea mabaya] kwa my husband eti kisa kazaa nae,huyu bibi ilikuwa zake siku za nyuma nilimvumulia sana lkn siku 1 tulipeana kubwa na tangu siku hiyo alizipu mdomo wake,lkn sasa naona kaanza tena.Mtu kama huyu dawa yake nini? yaani ananikera naona kama anataka anialibie familia yangu.
 
Dada Kononde,

Pole kwa maswahibu haya!

Lakini jibu la haraka ningekwambia kuwa huyo mdada anaanza kuleta za kuleta huenda tayari ana MIMBA ya pili ya mume wako!:glasses-nerdy:

Lakini kwa kesi kama hii, mi naona kama unalenga mashambulizi mahali kusiko!
Mtuhumiwa no1 hapo ni mumeo, na ndiye mbaya wako na siye yule anayekuropokea, maana anafanya hivyo kukutikisa na kutesti zali, huenda ukapagawa na kuacha nyumba yako, na yeye aingie, ajinafasi!
Kaa na bwanako/mumeo, akwambie shida hasa ninini, yeye ndio anaujua mpango mzima!
 
Dawa ya moto ni moto. Tafuta mume yake, nawe ujirushe naye.
 
ahsante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi.
Dada Kononde,

Pole kwa maswahibu haya!

Lakini jibu la haraka ningekwambia kuwa huyo mdada anaanza kuleta za kuleta huenda tayari ana MIMBA ya pili ya mume wako!:glasses-nerdy:

Lakini kwa kesi kama hii, mi naona kama unalenga mashambulizi mahali kusiko!
Mtuhumiwa no1 hapo ni mumeo, na ndiye mbaya wako na siye yule anayekuropokea, maana anafanya hivyo kukutikisa na kutesti zali, huenda ukapagawa na kuacha nyumba yako, na yeye aingie, ajinafasi!
Kaa na bwanako/mumeo, akwambie shida hasa ninini, yeye ndio anaujua mpango mzima!
 
wewe bwana ebu zungumza na mumeo
uenda mumeo anamtia kibuli uyo x wake....ahh wewe bwana achana na yule bwana ..minakupenda wewe yule nimemuoa tu kibahat mbaya lakin mapenz yangu yooooooote yapo kwako.......awali ni awali au siyo mama?ehh ndiyooooo anajibu apo uku mkono upo kuleeeeeeeeee!!!
mumeo ndo wakuzungumza nae.x wake asingekuwa na nguvu bila kupata sapot ya mumeo
ni yeye anayembak up
km mumeo angekuwa mkali kwake +wasingekuwa wanawasiliana kimahaba i mambo isingetokea....
FANYA IMA KUOMBA MAELEZO YA KUJITOSHELEZA TOKA KWA MUMEO ....in shot ao wanajiichoba pemben km kawa ....
 
mmmmmmmhhhhhhhh pole sana
mimi ninachoona endelea kufanya unachofanya
kwani mwenzio anaona uwivu kwa sababu wewe umeiweka familia yako sawa
achana nae hata usimpe muda wako kabisa..
ongea na mumewe kuhusu hayo
labda mnaweza kuja na plan ambayo itawasaidia wote ..
be strong and take care..
 
hivi inakuwaje mtu anamchomeka maneno[kuniongelea mabaya] kwa my husband eti kisa kazaa nae,huyu bibi ilikuwa zake siku za nyuma nilimvumulia sana lkn siku 1 tulipeana kubwa na tangu siku hiyo alizipu mdomo wake,lkn sasa naona kaanza tena.mtu kama huyu dawa yake nini? Yaani ananikera naona kama anataka anialibie familia yangu.
pole,hao wawili bado wanapendana.
 
Kaanza tena kaanzaje? na huyo mumeo huwa anakwambia kwamba anapewa maneno ya umbea na huyo mzazi mwenzie wanapeanaje hayo maneno? sielewi hapo naomba nifafanulie kidogo nikupe kauzoefu mana hiyo kama inataka kufanana na stori moja hv
 
wanapozungumza maswala ya mtoto kwenye simu anachomeka kama mkeo kamfanyia hivi mtoto,yaani ubaya tu wakati sio kweli mimi ni mama mzuri hata mumewangu anajua ila akiambiwa anakuwa nachanges za kutoniamini na hapo ndio mikwaruzo inapoanza.
 
Back
Top Bottom