Unafki wa CCM

Planner

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
348
148
Tunachohitaji watanzania kitakachotusaidia ni elmu ya uraia na elimu ya kujitambua...na hili ndilo wanalofanya CDM kwa sasa (ila kama kuna mdau ana objection nalo anakaribishwa kuchangia).Nadhani si siri kua ndani ya CCM na serikali yake kiongozi anayeonekana kuwa mchapakazi na mpinga ufisadi ataandamwa na vigogo wa ufisadi..nani asiyejua kua Mh.Magufuli alikua anabadilishwa wizara mara kwa mara "ili kumkata maini asioshe"!anayebisha hilo anhitaji maombezi tu.kwa msingi huo huo CDM wanachofanya kinaonekana,wangapi walikua wanajua fedha zetu zinavyoibiwa,kama Dr.Slaa angekua mzushi unadhani serikali ya JK ingemuacha atambe tu?pia suala la kua data za ufisadi kudaiwa zinatolewa na watu walioko kwenye mfumo ndio wawape CDM halina nafasi sana cha msingi ni je taarifa hizi ni za kweli au uongo,mfumo wa kupata taarifa hua ni wa ki-intelijensia si lazima kila mtu atajiwe techniques.Hivi enzi zile za mzee Lyatonga akigombea ubunge TMK ma Abdul Cisco mtiro wa CCM,Mrema alitoa tuhuma kwa Rais mstaafu Mkapa za kula milioni 900 pamoja na waziri wa fedha(Mh mbilinyi by that time),CCM walisema mengi lakini finally waziri na naibu wake waliondokakujiuzulu).ninachotaka kusisitiza ni kua kutaka kujisafisha kupitia mgongo wa Dr. Slaa ni uvivu wa kufikiri.kamwe uchafu hauondolewi kwa uchafu mwingine wa kudandia watu.nadhani Nape ameanza kucheza madogoli ambayo hajui hatma yake,pia kama watanzania hamjashtukia sasa ni mfumo wa kurithishana serikali na chama pia,,tafutateni takwimu mtaona kila palipo na viongozi wa serikali/chama watano watatu wamewachomeka watoto wao kwenye mfumo hata isivyo halali(sina tatizo na wale wanaopata nafasi ki halali) CCM tudanganyeni lakini kuna siku itakua historia kenu kuongoza.Tuamke watanzania.mwenzako akimwaga ugali we kula mboga!!!!
 
Kweli mkuu.Tanzania inahitaji uhuru wa pili ambao unakuja kwa uma kupewa madarasa yaani madarasa kwa uma kama wanavyo fanya Chadema..hongereni chadema,.'.
 
Sio siri hii tabia ya vigogo wa ccm kuchomeka watoto wao kwenye ngazi za maamuzi ni bomu ambalo inabidi litenguliwe kabla mambo hayajaaribika kwa mfono moja ya sababu kubwa ya tawala za uarabuni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya uma ni huu mfumo waluokuwa wamezoea watawala kuchomeka watoto wao kwenye ngazi za maamuzi

kweli mungu anatenda miujiza! Makupa you change alot!
 
kweli mungu anatenda miujiza! Makupa you change alot!
swala si kubadilika hata pale chama changu kinapofanya makosa huwa nakuwa muwazi ni nyie hivyo hivyo pale ambapo cdm wana matatizo msisite kuwaeleza nadhani unaona kwamba nimebadilosha msimo bado mimi ni ccm ila sumu hii chafu ya NApe ya kuleta ukabila kwenye nchi hii yetu ni kiyendo cha kulaniwa na mtu yoyoye mwenye akili timamu
 
Back
Top Bottom