Unafki mwingine bwana ,kweli marekani ana uchungu na ukiukwaji wa haki za binaadamu syria

junky

JF-Expert Member
May 11, 2017
413
976
Machi 20 2017 katika operesheni zake nchini Syria ,marekani iliangusha makombora kwenye shule na kuua watu na machi 22 ikalipua soko na kuua watu 84 wakiwemo wanafunzo 34

Mwaka 2016 usa ikalipua hospitali Aleppo hospitali pekee iliyobaki Aleppo na kuua madaktari na wagonjwa

Haki za binaadamu waliandamana tu ..

Iweje leo huyu aliyelipua hospitali, shule na soko awe concerned na watu wanaozaniwa kufa kwa silaha za sumu japo haikuthibitishwa... kweli ana uchungu na ukiukwaji wa haki za binaadamu nchini Syria au harakati kumdhoofisha Assad kipindi kaanza kurejesha nguvu
 
Habari za Syria muache tupumzike!
 
KAMA ANA UCHUNGU ASINGELIUWA WATU VIETNAM, JAPAN, IRAQ, LIBYA N.K , MAMILIONI YA WATU NA WATOTO WAMEUWAWA NA MAJESHI YA MAREKANI TOKEA ENZI NA NA ENZI
 
Marekani anatumia sinema sana kutuhadaa!lakini marekani ndio shetani na fedhuli namba wani duniani!tena mbwa koko kabisa alieuwa watu wengi wasio na hatia wakiwemo watoto kuliko taifa lolote duniani.uchafu wowote duniani hutapendeza bila namba wani kuwa amirika
 
Machi 20 2017 katika operesheni zake nchini Syria ,marekani iliangusha makombora kwenye shule na kuua watu na machi 22 ikalipua soko na kuua watu 84 wakiwemo wanafunzo 34

Mwaka 2016 usa ikalipua hospitali Aleppo hospitali pekee iliyobaki Aleppo na kuua madaktari na wagonjwa

Haki za binaadamu waliandamana tu ..

Iweje leo huyu aliyelipua hospitali, shule na soko awe concerned na watu wanaozaniwa kufa kwa silaha za sumu japo haikuthibitishwa... kweli ana uchungu na ukiukwaji wa haki za binaadamu nchini Syria au harakati kumdhoofisha Assad kipindi kaanza kurejesha nguvu

Watakipata walichovuna...malipo ni hapa hapa duniani.
 
Vita havina macho
 
Back
Top Bottom