gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,608
Mosi: Naomba ku-declare interest kwamba mm sio mfuasi wa Makonda wala njia zake zote anazotumiaga kusolve situation mbalimbali maana hua sioni anachogain zaidi ya kutengeneza chaos na kupata jina kwa ajili yake.
Pili: Naomba pia kudeclare kwamba sio muumini wala mpenz wa muundo na kazi za bunge letu hususan wabunge wa CCM.
Ukiangalia vyema mpaka sasa kinachoendelea sioni kama ni vita hasa ya madawa ya kulevya na zaidi ni kiki tu(i stand to be corrected)
Kwanini naandika uzi huu basi?
Nimeamua kuandika kushare opinion zangu kuhusu unafki wa bunge na wabunge wetu kwa ujumla.
Juzi walifikia kukatisha majadiliano ya taarifa mbalimbali na kuhamia kumjadili Makonda,
Maswali ya kujiuliza ni, je huu muungano wao when it comes kwenye vitu vya kijinga kama hii ishu ya Makonda kuwakashfu au kipindi kile cha posho ni sahihi au mostly important ndo kitu ambacho watanzania tunakihitaji??LA HASHA sababu hayatusaidii kwa lolote
Lets assume for a second Makonda asingewakashfu (kama wanavyosema wao), je wangeongelea jinsi Makonda anavyofanya hii character assasination kwa majina na brand za watu?jibu ni hapana
Je hii ishu ya Makonda kuwakashfu ni sensitive that much kuliko wao kuungana kipindi kile cha katiba mpya?
Je hii ishu ni sensitive kuliko kuungana na kudai mikataba mibovu hususan ya madini?
Bunge lilikua wapi wakat watu wanaandamana na wanauliwa na police kule Arusha?
Huu muungano wao ulikua wapi wakat Mwangosi anauliwa na bomu kule Iringa?
Huu muungano wao unakuaga wap wakat wananchi wananyanyaswa kila siku?
Tuna bunge la ajabu sana na linatutia aibu
Bunge lilikua wapi wakati Makonda anampiga kibao Warioba?leo wameguswa wao wanajifanya kuruka
Huu ni ushenzi na ujinga wa kupindukia, tuna bunge kituko sana na bila bunge lenye meno hakika tutaburuzwa mpaka tukome
Tunahtaj bunge linalojitambua mpaka rais awe analiogopa sio hili ambalo maamuzi yake yote yanatokea ikulu
what a shame