Unafikiria ni kwa nini Malaria Sugu anakoseakosea sana maneno anapo-post humu jamvini??

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,045
8,148
Mimi ni mmojawapo kati ya mashabiki wengi wa ms humu jamvini! Jamaa anapokosekana humu ndani jamvi huwa linapooza sana! Naamini kuna watu wengi huwa wanamtusi sana humu ndani lakini mioyoni mwao wanamkubali! But jamaa huwa anakuwa na typing error nyingi sana,sometimes hadi inakuwa raha! Me nauliza wazee mnadhani nini huwa inasababisha hizo errors za ms? Ana type kwa miguu?? Au?
 
AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,032
Ndio nyiinyi mnaokaa vibarazani kuwazungumzia masiha ya watu, sasa unataka kuileta hiyo tabia humu JF
 
bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
259
113
Mimi ni mmojawapo kati ya mashabiki wengi wa ms humu jamvini! Jamaa anapokosekana humu ndani jamvi huwa linapooza sana! Naamini kuna watu wengi huwa wanamtusi sana humu ndani lakini mioyoni mwao wanamkubali! But jamaa huwa anakuwa na typing error nyingi sana,sometimes hadi inakuwa raha! Me nauliza wazee mnadhani nini huwa inasababisha hizo errors za ms? Ana type kwa miguu?? Au?
Kwa sababu anatype kwa mguu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom