HARRISON ONE
Member
- Jan 8, 2014
- 42
- 30
hili ni swali ambalo naamini wana jf wengi huwa wanajiuliza sababu ninazoona mimi ni kuwa
1)haujibidishi vya kutosha katika kutafuta mafanikio
2)mfumo wa malezi yako toka utotoni ndio unaokufanya usifanikiwe
3)unajibidisha katika mambo yasiyo na faida
4)hujui kwenye maisha yako unahitaji nini hasa(kwa maana ya malengo)
5)kuwa na mipango mingi sana kwa wakati mmoja hatimaye kushindwa kuitekeleza kwa ufanisi
6)starehe za kupindukia kila upatapo kiasi kidogo cha pesa
7)kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba
8)mawazo mgando
9)pombe sana
10)kutomjua mungu
tupia za kwako watu wasonge mbele!!!