Unafikiri mazingira ya hii picha yalikuwaje?

Yaaani uswazi ile mbaya....hapo dogo katoka kujisaidia hapo nyuma tu.....
 
dogo anachungulia dada zake...tehe tehe kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
avatar25478_4.gif
ndio ulikaza macho kuchungulia dada zako utakuwa unakula ushibi
 
huyo dogo anaenda kukata gogo sasa bahati mbaya kakuta chooni kuna mtu, hapo ni uswazi
 
huyo dogo anaenda kukata gogo sasa bahati mbaya kakuta chooni kuna mtu, hapo ni uswazi

Kukata gogo ndo anavua nguo zote?

hapo anasikilizia kelele za mwenziye anayeogeshwa na kuchapwa na anapiga mahesabu kama aingie mitini ama asubirie zamu yake.........imenikumbusha mbali sana...........asa kwa wale tuliozaliwa 9 kwa mama yetu!
 
dogo kashaogeshwa na maza ake, kisha kaambiwa aende ndani ili maza naye aoge, lakini dogo badala ya kwenda ndani kumsubiri maza aje amvalishe nguo ye kaamua kumpiga chabo lol
 
Hahahaha,very nice indeed!Angekuwa amevaa kikaptula ningesema katoka kucheza anaskilizia pozi la kujichanganya asijulikane alipotea.Sasa bila nguo,mmmh!
 
Dogo amechungulia, mkono mmoja uko kwenye nanihii anaoiga PULI! unganisha vituo!
 
dogo kashaogeshwa na maza ake, kisha kaambiwa aende ndani ili maza naye aoge, lakini dogo badala ya kwenda ndani kumsubiri maza aje amvalishe nguo ye kaamua kumpiga chabo lol

umejitahidi kunishawishi mkuu teh teh teh
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom