Sniper
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,961
- 2,000
Mkuu mbona mnafanana na huyo dogo.
Ahahaha, mkuu hapo napiga chenga za kuoga kisa maji ya baridi
huyo dogo anaenda kukata gogo sasa bahati mbaya kakuta chooni kuna mtu, hapo ni uswazi
dogo kashaogeshwa na maza ake, kisha kaambiwa aende ndani ili maza naye aoge, lakini dogo badala ya kwenda ndani kumsubiri maza aje amvalishe nguo ye kaamua kumpiga chabo lol
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us