Unafikiri kuna haja ya kupunguza matumizi ya Serikali

john uloto

New Member
Mar 21, 2016
2
0
nilimsikia zitto kwenye mahojiano akisema, serikari inakusanya mapato ya ndani shillingi trillion kama 16 hivi kwa mwaka,katika hizi hela trillion nane inalipa deni la taifa na nyingine zilizobaki zinatumika kulipa mishahara. mwishowe serikari inajikuta haina pesa kabisa inabidi ikakope pesa kidogo kwajiri ya shuhuri za maendeleo.

Sasa kwa stairi hii hivi tutafika kweli. na haya madeni tunayoyasikia sisi wananchi mbona hatuyajui.mimi nindependa serikari ikiamua kwenda kukopa itushirikishe wananchi maana madeni yakikuwa kodi inapanda tunatumia raia maskini ni bora tunafanye maamuzi kama nchi na sio watu wachachelinapokuja swala la serikari kufanya dili na nchi yoyote au kampuni.

MIMI NASHAURI SERIKARI IPUNGUZE MATUMIZI.
NJIA ZASERIKARIKUPUNGUZA MATUMIZI NAOMABA MAONI YENU NDUNGU.
 
Back
Top Bottom