unafikiri ingekuwaje wanaume wangekuwa..................... ........!!??

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,885
wadau nnaombeni mchango wenu:
hivi ingekuwaje wanaume nao wangekuwa wanabeba mimba? mkisha fanya ngono mimba ni fifte fifte kwa mwanaume au mwanamke. maza aliniambia wangekuwa wanabomoa nyumba kwa kula udongo!! we unaona ingekuwaje ?
 
We unaumwa,pengne umetoroka milembe jana tu,hebu rudi bwana!
 
sir H hebu jipigie picha unafakamia maembe mabichi na ndimu!
 
Fanya hivi jipige picha weka matambala kweny tumbo then upload tukuone utakwa umepata jibu utaonekanaje!
 
Wala hiyo kitu haifikiriki kabsaaaaaaaa na Mungu hangekubali iwe hivyo
 
b52 na godyp ndani ya tenite, eti wanawake wenye mimba wanakuwa na hasira sijui wanaume ingekuwaje!!
 
Hata kwa sasa inawezekana inawezekana ukitaka kuamini mpatie bint mimba afu nenda sumbawanga waambie unataka ikuhamia athama vyema kabisa na utakuwa amebeba mimba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom